Wana Jf
Nipo kijijini kwenye msiba, kuna tabia zinakera sana.
Kila unayekutana nae anataka umpe hela.
Nimetoka jioni kwenda kupooza koo, imekuwa kero.
Jamani inakuaje kijijini.. Ni huku kwetu...
Wananchi wa kitongoji cha Maramba kata ya Luilo walisema kuwa wanampongeza mbunge Filikunjombe kwa msaada wake wa nyavu ya kutegea nyani( Lipilipili) ambayo imewawezesha kutega nyani zaidi ya 80...
Mama wa kinyakyusa alibahatika kufanya mapenzi usiku kucha na kijana toka pwani ambaye alifikia mjini mbeya kama dereva wa lori,kumbe mama yule alikuwa hajawahi kukutana na mwanaume aliyetahiriwa...
Waungwana naomba mnisaidie hawa jamaa ni matapeli ama vipi maana nimetumiwa hii e-mail hapa chini baada kuwa invited dada mmoja anayejiita miss rita benjamin na mimi kukubali invitation yake...
ENGLISH IS REALLY CRAZY
There is no egg in eggplant nor ham in humberger;neither apple nor pine in pineapple.English muffins were not invented in England or french fries in France.Sweetmeats are...
CCM chini ya Chiligati:
kilishuka kutoka 80% mwaka 2005 hadi 61% mwaka 2010 ambayo ni pungufu 19%
CCM chini ya Nape(kwa sample data za Igunga):
kimeshuka kutoka 35 000 mwaka 2010 hadi 26 000...
ni jioni,umemmiss umpendae,unaamua kwenda sehemu kupata soft drink ili upoteze mawazo na mda.unafungua kinywaji chako ndani ya kizibo unakutana na neno VUTA HISIA ZAKO!.yaani unalazimishwa kuvuta...
[MGANGA WA KIENYEJI];Kwa dalili unazoonesha,nahisi una malaria hivyo nakushauri ukanywe fansidar. [MGONJWA];Kwenda zako huko,we tapeli nini,mganga wa kienyeji na Fansidar wapi na wapi?,we niambie...
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?
Na ni kwanini?
Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?
ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa...
Kijijini nimekuta mtoto anaitwa Chike, nikauliza maana yake nini? Nikaambiwa eti ni Chicken' chips. Nikachoka, nikauliza sababu ya kumpa mtoto jina hilo nikaambiwa eti mama mtoto alikuwa hataki...
Watu wengi wakienda kwao Rombo, same, Mwanga hata Hai utawasikia wanasema tunaenda MOSHI. Mbona hizo ni Wilaya tofauti na Moshi?
Jamani nisaidieni kwa hili.
Nawasilisha
Kwako Invisible!
Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini...
Jamani eti ni kweli tunaangaika na kupoteza mkwanja kibao kununua nguo,mavazi mengi wakati muda mwing yani most of timei huwa mtu unaenjoy while hujavaa nguo?
Jamani eti ni kweli tunaangaika na kupoteza mkwanja kibao kununua nguo,mavazi mengi wakati muda mwing yani most of timei huwa mtu unaenjoy while hujavaa nguo?
Bakari is a house boy who every day drinks the wine of his Boss and puts water in the bottle to replace what he drank. But the Boss having suspicions as for the quality of the wine, he decides to...