Wachagga + Escudo + Mbezi kimara

Wachagga + Escudo + Mbezi kimara

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,776
Reaction score
1,106
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?

Na ni kwanini?

Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?

ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.
 
Siasa za ukanda unaleta ehh! Kama vile wakury kipunguni na wanyakyusa segerea. Aisee
 
La escudo sijui ila mbezi kimara imejaa wachaga jamani.
 
mbona wamakonde mnatusahau msasani, kinondoni moscow, mwee! wapogoro kigogo nk
 
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?

Na ni kwanini?

Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?

ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.
Dah!! Vivian umeniacha hoi kweli ngoja nikae kimya lol
 
Back
Top Bottom