Kila MWARABU niliye mpenda aliniumiza moyo, hata huyu nimpendaye sasa ataniumiza.

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,371
2,000
Kuanzia Saddam Hussein, Osama bin Laden na huyu wa sasa Gaddafi, lazima aniumize moyo.
 

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,022
2,000
Mkuu nimeikimbilia hii thredi, hasa baada ya kuona umeumezwa afu na "Mwarabu" nikajua ni mambo yetu yaleeeee!!.

Pole sna kwa kukufikiria vibaya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom