[MGANGA WA KIENYEJI];Kwa dalili unazoonesha,nahisi una malaria hivyo nakushauri ukanywe fansidar. [MGONJWA];Kwenda zako huko,we tapeli nini,mganga wa kienyeji na Fansidar wapi na wapi?,we niambie kaniroga nani?