Jamani huu ni utapeli ama la!

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Waungwana naomba mnisaidie hawa jamaa ni matapeli ama vipi maana nimetumiwa hii e-mail hapa chini baada kuwa invited dada mmoja anayejiita miss rita benjamin na mimi kukubali invitation yake.

Date: Wed, 5 Oct 2011 15:48:10 +0200Subject:
Re: ConfirmationFrom:
secretary202.shao@globomail.com

Dear Applicant. In acknowledgment to your application received by this organization. I wish to inform you that your request to participate in this upcoming conference meeting have been accepted by the International Humanitarian Foundation due to your invitee (miss rita benjermin) who is a member and staff of this organization. The coming international Conference will be held in two different countries. The Conference meeting is open for every one who is interested to Participate. The Conference on "Human Trafficking" is scheduled to take place on the 10th-14th of November 2011 in (Baltimore,Maryland - United States at the Baltimore Convention Center) and from 16th - 20th of November 2011 in (White Meridian Conference Center,DAKAR - SENEGAL).

The theme of the Conference is to teach our society on how we can stop Human Trafficking in our society and also to condemn Fighting and related Child Abuse which is increasing everyday in all over the world. The coming Conference is organized by International Humanitarian Foundation, here in United state of America, and being sponsor by our donors.

Note that registration is free. Delegates are eligible to participate together as a group of (2) from each Country or organization but not more than (4) you can also participate as an individual, for it is not necessary that one must belong to an Organization to be eligible to attend this Conference, individual can also participate. The independent Donors and the Sponsors is fully responsible for delegate travelling document (Visa) processing for the both countries, Air round trip tickets from your country of resident to the both countries where the conference will be held and along with an accommodation here in united state where the first phase of the event will be held.

Note that you will only be responsible to pay your hotel accommodation charges in Dakar Senegal where the second phase of the event will be held immediately after your registration, which is to prove to the American Immigrant High Commission that you will attend the both phases of the meetings, and not remain here in united state,after the first phase of the conference is over and it's compulsory for delegates to attend the both conference.

Be informed that as soon as you have been registered by international Humanitarian foundation here in united state, an official invitation letter will be send to you and also to the American Embassy in your country of resident to enable you obtain the visa to participate in this event. You are to present a paper on the topics of the Conference, which is Human Trafficking and Child Abuse has it affect your society, for all documentation will be published by international Humanitarian foundation. And certificate will be giving to all participants as a representative of the international Humanitarian foundation who is fighting against human trafficking.

You are to send us the following information details bellow for registration to the registrar desk van email: registrar_101shao@globomail.com

1) Names as in passport:
2) Passport Number:
3) Date of Birth:
4) Occupation:
5) Country of Residence:
6) Who invited you?
7) Telephone Number:

We shall open your registration file as soon as we receive your information details. Be informed that immediately after your registration file has been opened by international Humanitarian foundation, here in united state, your hotel accommodation confirmation slip from Africa will be requested for by this organization to confirm your participation. You are to contact this hotels which the organization has selected for the Conference meeting in Africa immediately after your registration and make your reservation with the selected hotels and obtain your accommodation slip. Note that without your hotel booking confirmation slip, the American Immigrant High Commission cannot be able to authorize your visa document to attend the upcoming Conference meeting here in united state.

The American Immigrant High Commission needs to be convinced that you are attending the both phase of the conference meeting before your visa document can be authorized by the American Attorney General, due to the population of illegal immigrant coming into united state. So that is why your accommodation booking confirmation slip is requested for to prove that you will travel down to Dakar Senegal West Africa immediately after the first Conference Meeting is over here in Maryland, United States. Once again we thank you for the interest to participate in this symposium and we hope to see you at the meeting venue.

Yours faithfully,
Prof. Ben Paker.(IHF Secretariat)
Maryland,United States
 
Nakushauri uende ubalozini na details zote ukahakikishe usije ukapigwa changa la macho.
 
hapo wanaogopa uzamiaji,si oliona kwenye mashindano ya olimpik kwisha watu kibao wakatorokea mitaani hawataki kurudi kwao,hivyo wewe kama unaari ya kwenda fanya process zote,ikiwa kuwa call na ingia kwenye wavuti yao
 
Kuna jamaa yangu just a couple of months back, alikutana na kitu kama hio, lakini ya kwake ilikuwa ni invitation ya kwenda ku sign mkataba states, akashtuka after googling the company. Nahisi hapo utapigwa kwenye hio booking utakayofanya Senegal.
 
Nenda kwenye header ya mail then angalia IP kama ukikuta inatoka senegal,Nigeria achana nayo kama ni ya US unaweza ukaenda next step ubalozini na kuulizia hiyo issue kama changa watakwambia tu kama ni kweli nao watakuwa na info hizo:::
 
Mwanaharakati, nakushauri, ukate mawasiliano na hao watu kabisa, huna haja yakwenda hata ubalozini, kwani hata mi ilishanitokeaga, tena walitumia jina la rafkiangu mzungu, nikaamini, walivoona naelekea ila muda ndo kama sina niko busy sana, wakanikazania mpaka, na mi kwa huruma zangu nikawachangia laki sita cash, kumbe uongo, baada ya hapo hata hiyo address walibadili. Wapotezee kabisa. Nilikutana na mzungu mmoja mwenye NGO, yenye jina kama walilokua wakitumia na jila la huyo kaka ni linafanana nikachukua namba kwenye bsns card aloni nilivokutana nae offisini kwake, nikampigia, nikaenda kuongea nae, akakataa si yeye kabisa nikama walitumia jina lake.
 
senagal & nigerial fraud guys on work-take precaution man! Hakuna ukweli hapo-Ni uongo kupindukia (achana nao).
 
kuwa mwangalifu na haya mambo..
usije ukakuta jina lako na passport yako
inatumiwa na mtu mwingine...
Be careful...:spy:
 
Nawashukuru sana wadau nimefuatilia kwa karibu nimegundua kuwa hawa jamaa ni matapeli from senegal.
 
Hivi hawa watu wa Afrika magharibi, mbona pepo la utapeli linawasumbua sana, halafu ni matapeli kiboko, hawatapeli vilaki laki, wanakutapeli mshiko wa kutosha, mpaka unachanganyikiwa na kujuta mno kuwafahamu.
 
Mi nawaogopa hata kwa ufriendship, wasije niletea matatizo, nikawa wa kutafutwa na polisi, ukikaa na mwizi watu wanajua na wewe ni mwizi, kumbe wala hujui kinachoendelea maskini.
 
Mi nawaogopa sana Wanigeria hata kwa ufriendship, wasije niletea matatizo, nikawa wa kutafutwa na polisi, ukikaa na mwizi watu wanajua na wewe ni mwizi, kumbe wala hujui kinachoendelea maskini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom