CCM chini ya Chiligati:
kilishuka kutoka 80% mwaka 2005 hadi 61% mwaka 2010 ambayo ni pungufu 19%
CCM chini ya Nape(kwa sample data za Igunga):
kimeshuka kutoka 35 000 mwaka 2010 hadi 26 000...
ni jioni,umemmiss umpendae,unaamua kwenda sehemu kupata soft drink ili upoteze mawazo na mda.unafungua kinywaji chako ndani ya kizibo unakutana na neno VUTA HISIA ZAKO!.yaani unalazimishwa kuvuta...
[MGANGA WA KIENYEJI];Kwa dalili unazoonesha,nahisi una malaria hivyo nakushauri ukanywe fansidar. [MGONJWA];Kwenda zako huko,we tapeli nini,mganga wa kienyeji na Fansidar wapi na wapi?,we niambie...
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?
Na ni kwanini?
Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?
ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa...
Kijijini nimekuta mtoto anaitwa Chike, nikauliza maana yake nini? Nikaambiwa eti ni Chicken' chips. Nikachoka, nikauliza sababu ya kumpa mtoto jina hilo nikaambiwa eti mama mtoto alikuwa hataki...
Watu wengi wakienda kwao Rombo, same, Mwanga hata Hai utawasikia wanasema tunaenda MOSHI. Mbona hizo ni Wilaya tofauti na Moshi?
Jamani nisaidieni kwa hili.
Nawasilisha
Kwako Invisible!
Usiku wa kuamkia leo niliamshwa na haja ndogo, na kama kawaida nilikimbilia chooni. Wakati narudi kitandani niligugundua kuwa sina magamba yangu. Looh! Nilistaajabu sana, lakini...
Jamani eti ni kweli tunaangaika na kupoteza mkwanja kibao kununua nguo,mavazi mengi wakati muda mwing yani most of timei huwa mtu unaenjoy while hujavaa nguo?
Jamani eti ni kweli tunaangaika na kupoteza mkwanja kibao kununua nguo,mavazi mengi wakati muda mwing yani most of timei huwa mtu unaenjoy while hujavaa nguo?
Bakari is a house boy who every day drinks the wine of his Boss and puts water in the bottle to replace what he drank. But the Boss having suspicions as for the quality of the wine, he decides to...
Mother: Son I'm sorry I slept with someone that
is not your dad 23 years ago. And that person is your real father.
Son: Mum, what rubbish! How am I to deal with this?! You should...
A Baker was asked to print 1st John 4:18 on a wedding cake and he forgot the 1st and printed John 4:18.
1st John 4:18 reads "There is no fear in love. But perfect love cast out fear...
A tourist asked a boat guy Do u know Biology, Psychology, Geography, Geology and Criminology? The boat guy said NO....The tourist then said: What the hell u know on the face of this earth? U will...
Habari wana JF….
Kila mwanadamu ana kitu ambacho yeye binafsi hukubali
na kuridhika kua it is the best thing about Her/him or one
of the best thing... Regardless ya kusubiri Usifiwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.