JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Binafsi najishangaa sana mzunguko wa maisha yangu: Nikiwa sekondari serikali ikafuta masomo yabiashara(BK&COM) sisi ndo 2kawa wa mwisho. Nakwenda advance serikali ikarudisha miezi ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nauuliza Swali langu Kitendawili? Kuna Shetani alizungumza na Binadamu. je Huyo binadamu anaitwa nani jina lake? Naomba jibu kutoka kwenu asanteni........
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Natangaza kupotelewa na memba mmoja mwenye ID aina ya The Boss. Mara ya mwisho alionekana maeneo ya Siasa, Chit Chat na MMU na walikuwa karibu na kijana mwingine wa mtaani jina bado linahifadhiwa...
1 Reactions
88 Replies
5K Views
Tangazo la jamaa wamekwama mbugani wanahofu kuliwa na simba, eti "nguvu ya m-pesa itakuokoa popote ulipo" na wewe tangazo lipi unalifahamu.....
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Nina furaha mke kaniruhusu niingie jamii forum muda wowote ninaotaka, baada ya kujionea raha za huku.. Kweli jamii forum n noma.
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari za siku ya leo wapendwa nimefiwa na Baba yangu mlezi,na sasa ndio naelekea Kilimanjaro kwa mazishi yatakayofanyika kesho.naomba tuzidi kuombeana.
2 Reactions
83 Replies
6K Views
hii inasumbua sana,msichana anatumwa sokoni na wazazi wake,akifika huko wauzaji,wengine wa2 wazima wanaanza kuwashika maungoni makilio wateja wao hao hata kama hawataki,tabia hi imefika mahali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa utafiti ulithibitika, Wireless internet mnazotumia kwenye laptop iliyowekwa juu ya mapaja inapunguza sana uwezo wa nguvu za kiume, na baadae uuaji wa mbegu za kiume. Huu ni utafiti mpya kabisa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
Hapo juu ni Yo Yo akiwa kwenye pozi la picha. Chini ni Nyani Ngabu (katikati) akiwa kwenye pozi la picha.
24 Reactions
117 Replies
12K Views
Habari zinazosemekana ni kwamba X Presida wa Marekani bwana GW amewasili Dar es Salaam Inernational Airport leo Alhasiri. Kesho Hasubui na mapema atakaa na kamati yake kudiscuss kuhusu mradi wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo mengi hutokea mwezi huu, kwa hapa bongo pia 9 Dec Uhuru day Muungano day Bday kwa some JF members X-Mass Day Boxing day New Year Na mengine meeengi tu!! I wish ya all the best...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
habari!hivi hizi j'tatu-j'pili zilitungwa na nani na zina maana gani?mana naona kama kuna majina ya watu kwenye hizo siku mfano juma,tatu,pili,ali,hamisi n.k.vile vile kwa kiingereza...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
MPEMBA ANATONGOZA DEM:-ntoto weyee wallahi wanimaliza unrefu kama nkarafuu, mashallah wang'ara kama embe boribo, nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo(.....)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi ukikutana na Mungu na akakuuliza "Kwanini nikuruhusu uingie Mbinguni?" Je, ungelisema nini?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hawa traffic police leo mbona wengi namna hii ndo kusema wanataka kushare mishahara yetu?! Khaa!
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Eti wanawake sio binadamu kwa kusoma vitabu vitakatifu.......Ukisoma kwa uangalifu utakuja kugundua kuwa wanawake sio binadamu ni ubavu mmoja wa mwanaume....Adamu......
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wana bodi heshima mbele wakuu wangu! Kuna msemo unaosema kuwa ya Mungu mpe mungu na ya Kaisari mpe kaisari au Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! tofauti na hapo ww utakuwa na lako jambo...
2 Reactions
67 Replies
6K Views
Usiku huu nimechukua Pc ya mke wangu ila walau ni log in Jf. Kumbe na yeye ni member ya jf, alisahau kulog off. Huwa tuna chati sana kwenye pm, na nilishajipanga kumtongoza. Kweli mungu...
2 Reactions
72 Replies
5K Views
If Anthony's father is Kevin,then Kevin is the________of Anthony's father.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dingi yetu uliye majuu jina lako lipewe maflagi ya kufa mtu ufalme wako utuibukie kiaina unachotaka ​kifanyike duniani kama maskani kwako utulete leo mapiza mbaga na mazaga zaga tuchuku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…