Tangazo la kupotelewa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la kupotelewa!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kongosho, Nov 29, 2011.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Natangaza kupotelewa na memba mmoja mwenye ID aina ya The Boss. Mara ya mwisho alionekana maeneo ya Siasa, Chit Chat na MMU na walikuwa karibu na kijana mwingine wa mtaani jina bado linahifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi.

  Mara ya mwisho alikuwa kavaa pensi ya njano, fulana ya blue na yeboyebo za pink.

  Zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakaye fanikisha upatikanaji wake.

  Asanteni!
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hebu mcheki Jukwaa la mwisho chini kabisa nasikia siku chache zilizopita alikuwa ameweka kambi huko...lol
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Usikute ameshachimbiwa mkwara na my wife wake asikatize pande hizi.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  :lol::lol: Kituo hiki hapiti kabisa kama ni daladala anasema haisimami hapo kituoni imejaza abiria
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nikipiga simu yake inaniambia " Mwenye simu hii hapatikani, hadi MMU itaporuhusu nyumba ndogo kikatiba''

   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Alimrihusu 2*3 kwa siku sita tu. Ya saba ni yake yote

   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Afu siku ya mwisho si alionekana na nanii

   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Na AshaDii pia sijamuona kitambo humu...usikute wapo pamoja!:lol::lol::lol:
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Ijue huyo ni dada mkwe wake?
  Afu matani ya kiongo karibu na ukweli huwa mazuri

   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,627
  Trophy Points: 280
  Asha Dii atakuwa anafahamu. siku ya mwisho walikuwa wote MMU. mia
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  labda kakosa usafiri wa kufika pahala hapa hebu ikiwezekana mtumie Tax
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Huyu dada mkwe?!!!!!!
  Sijui nimuundie kamati maalumu

   
 13. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa za kiinterejensia alionekana ana ID mbili moja The Boss yapili Kongosho ila kwa mavazi nikama upinde wamvua anabadirika kama kinyonga ohoooo sorry Siyo Kongosho ni naniriyuu nanini...........???????
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,259
  Trophy Points: 280
  Mwenzako kishabondwa life ban
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nitume Tax wapi? Ningekuwa najua ningetuma, hata kama ni Zanzibar tax hii ingemfuata

   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Buji, maneno na moyo. Ujue mie ni pressurised hypertensive addict of reality school of life

   
 17. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  ..hivi na yule member aliyekuwa anatumia na ile id nyingine ya miss america amesahau password yake nadhani
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Maneno na moyo jamani.

   
 19. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Kuna mpwa wangu alienda kujifungua sijui alifikishwa salama na Ambulence maana alitoka hapa tupo liko kwenye meno analia mtoto anataka kutoka sasa sijui na sema sijui huyu kama alifika salama maana hizi hospitali zetu za wilaya na ambulance ni bajaji natia shaka!!Nani mwenye taarifa za mpwa wangu huyu mwenye jina DASOPHY???
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  LOL Hiyo haiwezekani kama Tambi na mboga ya majani....AshaDii nipo naye hapa katulia tu:lol::lol::lol:
   
Loading...