Utafiti:Wireless Internet na Nguvu za kiume

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,543
Reaction score
7,383
Kwa utafiti ulithibitika, Wireless internet mnazotumia kwenye laptop iliyowekwa juu ya mapaja inapunguza sana uwezo wa nguvu za kiume, na baadae uuaji wa mbegu za kiume. Huu ni utafiti mpya kabisa ulifanywa marekani na taasisi moja iliyohusisha vyuo vikuu kadhaa. Kwa jinsi ya utafiti ni kwamba walichukua mbegu za kiume za watu wenye umri miaka 20 hadi 45 zikawekwa chini ya laptop na baadhi zikawekwa mbali na laptop. Wakaunganisha wireless internet. Baada ya muda flani(binafsi sijui) zile za chini ya laptop robo yake zilionekana zimekufa

Source: Gazeti la UHURU la leo.
NB: Usije ukasema hili ni gazeti la Magamba.

My Take: Hizi moderm za tigo/voda/airtel nk vilevile ni wireless, so we need to take a measure to minimizde the effect. Najua wanaJF wengi tunaweka lap juu ya mapaja, hembu tukacheki afya kwanza.
 
Mkuu hii ungeipeleka hapa kwenye jukwaa la J.F. Doctor umekuja kuleta huku kwenye Chit chat ahhhhhh? Mbona hujaleta tena Maujanja ya Computer Page 6?Umegeuka Doctor mkuu leo? Ninakusubiri kwenye Maujanja ya Computer page 6.... endelea basi Mkuu
 
Mzizi niaje mkuu uko pouwa??ujue lap yangu imekorofisha sasa sipo online for some days, nadhani display imekufa yaani mpaka uchungulie ndo unaona icons sasa najitahidi kuichekia nijue nafanyaje, yale maujanja 6 nadhani mambo yakiwa bomba kesho nitaweka mkuu!! Bt hili swalal la mbegu za kiume linanichanganya sana!! Acha Mods waitupie huko Doctors
 
mkuu asante kwa kutujuza lkn laptop hata wanawake wanatumia je effect ni kwa wanaume tu
 
Kwani wana dada nao wana mbegu??...anyway hapo sijafahamu bado
 
kazi kweli kweli na hizi teknolojia. Proposed solution?
 
Hakuna shida zikiisha tunaenda loliondo kwa babu na pia kama amechemsha tunapata kitu cha mama muuza ikiwa bado tunaruka pharmacy na kupata kitu inaitwa sildenafil maisha mdundo tuuu!!!
 
Kwa utafiti ulithibitika, Wireless internet mnazotumia kwenye laptop iliyowekwa juu ya mapaja inapunguza sana uwezo wa nguvu za kiume, na baadae uuaji wa mbegu za kiume. Huu ni utafiti mpya kabisa ulifanywa marekani na taasisi moja iliyohusisha vyuo vikuu kadhaa. Kwa jinsi ya utafiti ni kwamba walichukua mbegu za kiume za watu wenye umri miaka 20 hadi 45 zikawekwa chini ya laptop na baadhi zikawekwa mbali na laptop. Wakaunganisha wireless internet. Baada ya muda flani(binafsi sijui) zile za chini ya laptop robo yake zilionekana zimekufa

Source: Gazeti la UHURU la leo.
NB: Usije ukasema hili ni gazeti la Magamba.

My Take: Hizi moderm za tigo/voda/airtel nk vilevile ni wireless, so we need to take a measure to minimizde the effect. Najua wanaJF wengi tunaweka lap juu ya mapaja, hembu tukacheki afya kwanza.

Tafiti mbona sinakataza kila kitu, mpaka kufa. Tuendelee mdogo mdogo inshallah tutafika
 
mbegu zina uhusiano gani na nguvu za kiume? Kuna watu hawana mbegu but wananguvu za kiume
 
mbona mwatutisha na habari hizi? lakini hata simu walituambia zinalet kansa, lakini zimekuwa kama stori tu.
 
Dunia imejaa. Bora hizo mbegu zipungue kidogo.
 
Back
Top Bottom