Mambo mengi hutokea mwezi huu, kwa hapa bongo pia
Na mengine meeengi tu!! I wish ya all the best!! In advance
- 9 Dec Uhuru day
- Muungano day
- Bday kwa some JF members
- X-Mass Day
- Boxing day
- New Year
![]()
![]()
![]()
![]()
Binafsi yaani huu mwezi nakuwaga na furaha sana,weather inakuwa nzuri,mawingu ya blue,shule zimefungwa ndugu wanakutana,watu wengi wanafanya shopping.
Halafu hapo umesahau vipaimara na graduations.
ndo nn?? Au unamaanisha alshabaab?msimu wa majilio
wooow!! Nyc pc!mambo mengi hutokea mwezi huu, kwa hapa bongo piana mengine meeengi tu!! I wish ya all the best!! In advance
- 9 dec uhuru day
- muungano day
- bday kwa some jf members
- x-mass day
- boxing day
- new year
![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi na new year itakuwa kwenye mwezi huu vile?
Hivi na new year itakuwa kwenye mwezi huu vile?