Utakapokutana na Mungu

Utakapokutana na Mungu

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Hivi ukikutana na Mungu na akakuuliza "Kwanini nikuruhusu uingie Mbinguni?" Je, ungelisema nini?
 
Duniani sijawai kupata raha yeyote nimezaliwa bongo nimefia bongo ,sijawai kuinjoy ndani ya jiji lolote dubai,london ,newyork wapiwapi nilipasikia tu nataka na mimi nifurai kwenye hilo jiji la ukweli
 
kwasababu Duniani niliishi kisela zaidi tofauti na wenzangu walioishi kishua. Nalog off
 
Ni ahadi uliyoniahidi kupitia maandiko yako matakatifu,
Siku zote niliamini ktk jina lako na kuyaishi maagizo yako,
Na leo siku imewadia nina haki ya kwenda nawe mbinguni.
 
Nitayapata hapo hapo ya kumwambia.
 
uliniumba nikutumikie dunian kwa ahadi kuwa utanifanya niishi milele ndani ya Yerusalemu mpya.
 
yoyo mbona unatuletea dhambi nyingine huku.
MUNGU huwezi kuzubutu hata kuongea naye,
ana utukufu wa ajabu, sanasana ukisikia kishindo chake utazimia tu kama siyo kufa.
 
Back
Top Bottom