Nimemstukia mke wangu...

Nimemstukia mke wangu...

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,867
Usiku huu nimechukua Pc ya mke wangu ila walau ni log in Jf. Kumbe na yeye ni member ya jf, alisahau kulog off.

Huwa tuna chati sana kwenye pm, na nilishajipanga kumtongoza. Kweli mungu ananipenda.

Nimeingia kwenye pm zake, sijakuta pm chafu. Kweli mke wangu ni mwaminifu. Mungu ambariki.

Imenibidi nimrudishie pc yake.
 
hahaha.luck u are! Hebu nenda mmu ukasome post zake kabla hajabadili pw
halafu panda juu kwenye politics forum ndo utazimia kujua yeye ndo CDM Dam dam against yu Mr Magamba
 
angekuwa yeye ndiyo kasoma pm zako angeshangaa jinsi unavyopenda kucamerooniwa..mungu kakuokoa
 
kwanza hajagundua kuwa nimemstukia kwakuwa nilipitia pm then nikafunga pc nikamrudishia.

Sina tamu na msimamo wake kisiasa. Hata hoja zake kule MMU kuna memba wanataniana sana. Hilo halinipi tabu sana.
 
Sasa na wewe ili mambo ya kae safi hebu jaribu kumtongoza kama atakubali ujue alikuwa hana mtu anaye mtafuta ni wewe tu uliyetokea kumpenda!!! hahahaaaaa
 
hebu chungulia pm inbox yake nilimtumia jana tukutane friday pale Coco
 
angekuwa yeye ndiyo kasoma pm zako angeshangaa jinsi unavyopenda kucamerooniwa..mungu kakuokoa

daaah, nashukuru kwa kunipa hiyo sifa. Kwakuwa sijui vigezo ulivyotumia, poa nakushukuru sana.
 
halafu ana ID mbili.Hiyo kakuachia wazi ujiingize King mwenyewe,eti kasahau kulog off! Kalaghabhao!
 
Sasa na wewe ili mambo ya kae safi hebu jaribu kumtongoza kama atakubali ujue alikuwa hana mtu anaye mtafuta ni wewe tu uliyetokea kumpenda!!! hahahaaaaa

we kweli haunipendi. Unataka nijitafutie matatizo mwenyewe.

Hilo ni jambo la hatari sana.
 
hebu chungulia pm inbox yake nilimtumia jana tukutane friday pale Coco

nimeshamrudishia pc yake. Ila nilipitia pm zote. Zilikuwa kama 30 hizi. Jana alipokea pm mbili. Zote zilikuwa ni salaam tu ndg.
 
halafu ana ID mbili.Hiyo kakuachia wazi ujiingize King mwenyewe,eti kasahau kulog off! Kalaghabhao!

sina uhakika sana kuhusu hilo. Hawezi kunitegea kwakuwa alikuwa hajui kuwa nitatumia pc yake.
 
Back
Top Bottom