Kitendawili Tega? tega nikutege?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
Nauuliza Swali langu Kitendawili? Kuna Shetani alizungumza na Binadamu. je Huyo binadamu anaitwa nani jina lake? Naomba jibu kutoka kwenu asanteni........
 
Tega,iakuwa vizuri tumuulize shetan kwa vile wanajuana atatupa jibu,subiri kidogo nacheki naye nitarudi.
 
Hizi quiz ni udhalilishaji wa kifikra.
Unavyofikiria wewe lakinininavyofikiria mimini Tofauti kabisa. kama unashindwakujibu si bora usome na kupita njia tu kama gari lililo jaa abiria tu.

me siwezi nakupa mji, nenda msoga bagamoyo.
UmenipelekaKaribu nakwetu lakini bado nataka unijibu swali langu Je ( Kuna Shetani alizungumza na Binadamu. je Huyo binadamu anaitwa nani jina lake? Naomba jibu kutoka kwenu asanteni........
 
We nawe si utoe jibu sasa au wapiga ramli?
Unataka nitoe jibu tu kirahisi rahisi haiwezekani jaribu kunijibu swali langu?

Kwanza tuambie walichozungumza ili tupate mwanga!
walizungumza mambo ya dini.

mkuu tupe jibu basi, wote naona tumechemka.
Bado kuna wanachama wengi humu ndani kama wewe umechemka pole sana Narudia tena Swali langu ( Kuna Shetani alizungumza na Binadamu. je Huyo binadamu anaitwa nani jina lake? Naomba jibu kutoka kwenu asanteni........) Nawaombeni Tafadhali munijibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom