Siku ya kuzaliwa na maisha yangu......

Siku ya kuzaliwa na maisha yangu......

MR. DRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
637
Reaction score
122
Binafsi najishangaa sana mzunguko wa maisha yangu:

Nikiwa sekondari serikali ikafuta masomo yabiashara(BK&COM) sisi ndo 2kawa wa mwisho.

Nakwenda advance serikali ikarudisha miezi ya kumaliza nyuma(from may to march).

Haikuishia hapo ndo ikawa mwaka wa kwanza kuunganisha chuo!(nikakosa)

Nimepata chuo mkopo nikakosa, kidogo serikali ikasema wenye div 2 wapewe tukawa wa kwanza pia.

Kumaliza chuo soko la ajira limekuwa gumu!

Nikamuuliza mumy mimi nimezaliwa mwka gani?
Jibu: kumbe ule mwaka serikali imebadilisha ile pesa ya mmasai!
Kwenye tarehe sasa dunia ndo wakaifanya siku ya kuadhimisha UKIMWI.
Jamani maisha yangu yanapoelekea yakoje!
Naweka.nukta
 
Na wewe ni mr dry hadi kuleeeeeeee???????? Njoo ufanyiwe maombi
 
Heri ya kuzaliwa Arifu, ila gangamala acha kulalamika..!
 
heri ya siku ya kuzaliwa.....hayo mengine potezea ukibebana nayo utachanganyikiwa
 
Heri ya kuzaliwa mkuu, vipi shughuli ya kukata keki wapi leo?
 
Na wewe ni mr dry hadi kuleeeeeeee???????? Njoo ufanyiwe maombi

nayo hii ID sijui nibadilishe!
Maombi muhimu ila mimi ni mpenzi wa sauti ya "kunguru"nukta
 
Dah!huu mzunguko wako ni noma,
Nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa.
 
Birthday-Flowers NEW 3.jpg
Furahia siku yako ya kuzaliwa Mkuu,
mengine yatajipa tu.
 
Happy birthday Mr. Dry. If you concentrate on thinking about vitu vizuri vyote vilivyo kutokea in the same way umefikiria vitu negative nadhani utakua na mwaka mzuri sana. I wish you a lot of faith and hope going forward!
 
Happy b.day my dear. Bt angalia sn na huko down kwako, usije ukapata mkosi mwengine. HIV free generation, it begins with uuuu..............
 
mjanja wewe lakini. Umezungukz mbuyu weee, kumbe wataka tujue umezaliwa leo, ok.

Happy birthday!
 
Back
Top Bottom