JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ticha wa std 1 ka..amba class wanafunzi wakaanza kucheka ticha kuua soo kaua kipindi sasa next periodi ticha:tuliishia wapi kipindi kilichopita? Wanafunzi:pale ulipojamba mwalimu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman nipo angaza hapa nataka jua afya yangu ila ilo jam lake balaa yan kumbe kila mahala bongo jam tuu duh nways me sikat tamaa nakomaa 2, mkilog off mkapime jaman muwah folen.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jambazi mmoja aliingia kanisani akiwa na bunduki mkonon,akasema,''haya wanaosema wanampenda yesu wabaki humu wasiompenda watoke nje,ndani akabaki mchungaji na wazee.''jambazi akamgeukia mchungaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chuga =kwa wahaya utaonekana kituko! Casino=akina mama wakihaya watafunika nyuso zao Rutba=Kwa wenzetu wa kanda ya Ngara kigoma watazimia!! Endeleza na wewe.....
0 Reactions
47 Replies
14K Views
Madadiito na mamamiito, Kikao cha weekend hii wapi? upande wangu mfuko hauko sawa. Nataka ningalie wenye kikao karibu na Home niwapige mzinga. Bebii, wherever you are. Please nipe Mchongo-...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimegundua ni bora watu wawepo hata kama mnagombana na kutofautiana. Tulikuwa hapa wote tunabishana bishana jioni hii, ghafla siwaoni Imekuwa kama vile watu wanaoishi nyumba moja halafu wanaamua...
0 Reactions
107 Replies
6K Views
Kulikua na jamaa 1 mwizi wa misalaba makaburini .siku 1 wakati akiwa katika kazi yake alipofika kwenye kaburi akaanza kuung'oa msalaba uliokua juu ya kaburi . Hafla wakasikia mtu akisema: oeeh...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja kutoka kilimanjaro, alitembelea zenji. Katika pilikapilika zake za siku nzima, njaa ilimshika na akaamua kwendi hotelini kupata menyu. Kwa bahati mbaya alikuwa vyakula vimeisha...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Kuna sekondar moja iko mjini kahama shinyanga,jna limehfadhiwa.Yaani ile sekondary ni ya mataira director wa shule elimu yke darara la pili,mkurungenz wke hakusoma,mkuu wa shule ana digrii lakin...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF,Mbado!mBADO!mbADO! ya MR EBO ndio imeisha,je na WEWE Mbado yako ni ipi?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
The festive season is upon us, accidents take seconds 2 happen but suffering lasts a life time;therefore: HELMETS & CONDOMS shld be worn on appropriate HEADS during respective RIDES, esp on...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tetezi kwenye katiba mpya kuna kipengele kinasema ni marufuku kuvaa mlegezo (kata 'K') ukikutwa bakora
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chapombe alikua anasafiri kwenye treni siku ya tatu bila ya kuonja akamuona mtu mbele yupo na chupa ya biere akakiepeleka mdomoni na kui2a chini kwa kua jamaa alikua na usongo na bia akamlia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa sasa Facebook imejaa mashoga wa kiume hali inayotia kichefuchefu kabisa .. utakuta wanawasiliana na wewe kama rafiki wa kawaida baada ya siku mbili utasikia nina hamu kweli ... ukiuliza hamu...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mi nimebanwa sana kikazi wikiendi hii huku Mombasa. Sijui kama nitapata muda wa kuingia jamvini na wakati huo huo kupiga mambo yetu. Lakini naomba niwatakie wikiendi njema wanajamvi wote na Mungu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Aagh jamani uchawi upo!! Hapa Mtwara sasa hivi kuna jamaa wapo baadhi wanatokea msumbiji huko, wanatoa uchawi. Wameanza Mikindani huko, wazee wameumbuka sana, kuna nyumba wametoa misukule zaidi ya...
1 Reactions
69 Replies
14K Views
Nimekopa nimeshndwa kurudisha salio 0656-211288 ntashukuru utakaye ni helg
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Et wandugu,nitajuaje kama huyu gal ananipenda?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wana jf,supose ww ungekuwa ndo mbunge wa cdm umetendw haya ungfnyj? 0.kura zenu za uraisi zmchakachuliwa 1.umenyimwa haki ya kushiriki kumchagua meya arusha 2.umekamatwa ukitetea haki na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani nilikua ninauliza kua hizi ndege zinazo pita pita hapa mjini ni zetu ama ndio nchi imeuzwa na hatujapewa chetu kama temba anavyosema...?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom