Nyani Ngabu na Yo Yo enzi zao... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyani Ngabu na Yo Yo enzi zao...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Invisible, Nov 29, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Hapo juu ni Yo Yo akiwa kwenye pozi la picha.

  Chini ni Nyani Ngabu (katikati) akiwa kwenye pozi la picha.

  [​IMG]
   
 2. u

  utantambua JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh NN alibeba radio kabisa kwenda nayo kufotoa picha. Yaonekana ratiba ya picha ilipangwa mwezi mmoja kabla
   
 3. u

  utantambua JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inaonekana Yo Yo alikuwa kiwembe sana kwa mabinti cheki hizo swagga. Ila huo mkoba si ni wa daftari Yo Yo?
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,923
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Ebwaanaee unanikumbusha mbali sana, hii miaka ulikuwa hupigi picha bila kwenda studio, na kwa taarifa yako huenda huo mziki picha ya pili uliwekwa studio maalumu kwa ajiri ya kupigia picha maana ilikuwa ni nadra sana kumiliki mashine kama hiyo.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,073
  Trophy Points: 280
  Jamaa alitaka muziki aliokuwa anausikiza kwenye redio utokee hadi kwenye picha. Dah...
   
 6. Julieth Ms

  Julieth Ms Senior Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaha enzi hizo mtu anapiga picha na jembe au baiskeli au pikipiki studio
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,073
  Trophy Points: 280
  Bila shaka Monkey NGabu alimpiga mkwara mzito mpiga picha "nimepulizia manukato ya Ayu, cobra na Yolanda, hakikisha harufu inasikika kwenye picha"
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahahahahahahhaaha kanyelamumo ya NN si ya kitoto....
   
 9. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Yoyo hapo alikosa 'raizon', bei yake ilikuwa shs 220 (mia mbili sihirini) enzi hizo, na hapo ka shaini ile mbaya.
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  duu hizi snap balaa tupu...
   
 11. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 894
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Mkuu hapo kwenye mkebe wa Yolanda umeua!
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Ndala ya Umoja ndo inatamba sana hapo!...Mtu ni lazima aonyeshe saa mkononi!...huh!
   
 13. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 9,648
  Likes Received: 5,158
  Trophy Points: 280
  Walau nimecheka,hiyo pochi aliyobeba YoYo ziku hizi zipo kwenye fashion,NN naona alitoka kuuza Pamba akajinunulia redio mkulima.hahaha,mbavu zangu mie
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  dah! kumbe wametoka mbali..
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,073
  Trophy Points: 280
  saa za disco zilikuwa bei sana sh.300/=
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,351
  Likes Received: 1,026
  Trophy Points: 280
  nakutafuta.....hivi ilo kaputula la NN ndo laitwa ivo?
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Lolzzz. .
  Jamaa walikua na swagga kweli.
   
 18. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yaani umenikumbusha mbali sanaaa.Hiyo redio kasetti ilikuwa ni panasonic ya ukweli bendi nne nafiki ilikuwa miaka ya 79 na 80 hivi ndo zilitoka na hizo saa ni Omax au Moritima na hazitumii betri ni unatumia ufungua kuchargi.Huo mkoba wa YO YO nakumbua unaitwa Gimtex..lol na pia YO YO kavaa suruali mtindo wa bugalooo...hapa alitakiwa avae na lazoni ngazi sita hapo mabo siyo mchezo...Nimekubaliiiii watu mnakumbukumbu balaa
   
 19. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hahahaaaa jamaniii...
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahahahahahahahaah weye unalionaje...acha zako ukiacha humu wajua napatikana wapi...pitia niko nyumbani muda wote!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...