Teja kaingizwa msikitini

Teja kaingizwa msikitini

Shiwawa

Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
30
Reaction score
10
Dingi yetu uliye majuu jina lako lipewe maflagi ya kufa mtu ufalme wako utuibukie kiaina unachotaka ​kifanyike duniani kama maskani kwako utulete leo mapiza mbaga na mazaga zaga tuchuku tukichemka kama tunavyo wachunia masela wa kitaa usitutie moton bali utuokoe kwa maji kwa sababu wewe ni kila kitu ameen
 
tetetetetetete!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom