Matangazo yanayopotosha

Kireka1980

JF-Expert Member
Mar 18, 2008
302
43
Tangazo la jamaa wamekwama mbugani wanahofu kuliwa na simba, eti "nguvu ya m-pesa itakuokoa popote ulipo"
na wewe tangazo lipi unalifahamu.....
 
Hahaha..I do appreciate kazi ya watengeneza matangazo. Wapo creative sana! Wanakupa imaginations za ajabu sana!
 
tangazo la Tembocard master card, linanyanyasa kina mama..... nashangaa aijasikia wakilalamika... wanaonekana kama "product"..... please re-check it
 
Hakuna tangazo silipendi kama la Mpesa, sijui anakuja mtu anapaa aka supaman ananyakua. Mmh yaani wameidharaulisha maana halisi ya mpesa.
 
Tangazo la kuku wa Mlimani City linanichefua sana. Eti anatokea bata kwa nyuma halafu anampiga denda kuku halafu kuku anaanza kupandisha mzuka hadi anapata midadi halafu anakosa wa kumshughulikia. Hili tangazo lipigwe marufuku kwasababu linawadhalilisha wanawake.
 
Bwana yesu asifiwe mwita!!!
 
hahaaaa..hata mimi matangazo ya Mpesa yananikera sana ...tena ngoja niandike kwa herufi kubwa na ndogo kuonyesha msisitizo MaTAnGaZO Ya MPeSa YAnIkEraaAAAaaa sana...eti wanasema mpesa utapata pesa zako wakati wowote halafu ukitaka kwenda kutoa hela unakaaaa weeeeee....unasubiri meseji...mara uzunguke mji mzima kisa network inasumbua..mara hamna mtandao njoo badae...sasa na hapo ni mjini je hao wa porini!?? afu wanaposema mahali popote ...hata pasipokuwa na mtandao wao hivi unaweza pata huduma ya mpesa??maana kuna vijiji vingine ukienda huko unakuta ni zain tu au tigo tu voda hamna, haya huyo katni wa mpesa atafikaje huko..!!?? wananikera sana...!!
 
Nilikua naongea na mwana CCM mmoja hapa nimemuuliza ni matangazo gani ambayo anaona yanapotosha? amedai ni "Matangazo karibu yote ya haki elimu" ...LOL
 
Kwani wanawake ni kuku?

Back
Top Bottom