Mke karuhusu

Mke karuhusu

Usiku huu

Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
58
Reaction score
9
Nina furaha mke kaniruhusu niingie jamii forum muda wowote ninaotaka,
baada ya kujionea raha za huku..
Kweli jamii forum n noma.
 
He! anakubana kiasi hichoo.....najuta!
 
Alikuwa anahisi nachat na vidada..
Ila leo kajionea na amefurah sana,
jamii forum ni elimu dunia..(jando na unyago) through globalization..
Au mnasemaje?
 
Heheheee! Kwa hiyo umepata uhuru wa bendera?! Furahia uhuru wako kaka. Sikujua kuwa kuna mfumo-jike pia!!
 
dah! pole sana mkuu mie my wife wangu akinizuia tu nampa talaka fasta.Nalog off
 
na akikunyima tena urudi kuutupa taarifa
wengi wanaishia kubadili majina kwa ajili ya wake zao humu wapi wapiii sexsoung wapi zingzol'e
 
Teh teh teh,
Nyani Ngabu mbona sikuhizi hatumuoni Mama Ngabu Jf, au umemkataza na ww?.

HEART, alikuwa hajui huku tunafanya nin, alihisi tunaangalia picha za wadada kama facebook..

Punainen-red, aagh! Si unajua mke ni centre ya kila kitu..

Chatumkali:-thanx, mmh! Hilo jina, bila shaka ni mtu wa Tanga ww.

Washawasha, sikuhizi huna thread, nimemic thread zako..

Kongosho;- umenena, mke anatakiwa awe mwelewa na in good mood

p.diddy:- nitawajulisha wakuu, umepotea sikuhizi, upo mkubwa?
 
Safi na inapendeza sana hiyo. Mimi wangu hana neno, akiniona nimefungua JF anajua ni ubishi wa siasa tu ndo unaonleta humu
 
Aaaaaaah afrodenzi, ni moja tu...
Alaf leo kaijua, nadhan ataanza na yeye kuingia humu aniangalie nina-post nin..
So inabid niwe makin aisee, habar za mke hanielewi, mara nyumba ndogo inanitesa, au nina mtoto wa nje, au niko njia panda....
Siruhusiwi eti
 
Inabidi ukague posti zako zote, mana kunakale kasehemu una click kanasema "Find latest posts ", akitoka hapo unawezashangaa unanuniwa tu bila kujua sababu
 
Aaaaaaah afrodenzi, ni moja tu...
Alaf leo kaijua, nadhan ataanza na yeye kuingia humu aniangalie nina-post nin..
So inabid niwe makin aisee, habar za mke hanielewi, mara nyumba ndogo inanitesa, au nina mtoto wa nje, au niko njia panda....
Siruhusiwi eti

Dahhh mi naona umebanwa mkuu.
Kila poster unatakiwa uwe mtakatifu.
Ukichemsha tu unaweza kukosa tonge.
 
Yap ! Hongera my shem maana midume mingine inajidai ipo jamii forum kumbe milongo.
 
Back
Top Bottom