Dio AMEFIWA NA BABA YAKE

Dio AMEFIWA NA BABA YAKE

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
1,274
Reaction score
159
Habari za siku ya leo wapendwa nimefiwa na Baba yangu mlezi,na sasa ndio naelekea Kilimanjaro kwa mazishi yatakayofanyika kesho.naomba tuzidi kuombeana.
 
Habari za siku ya leo wapendwa nimefiwa na Baba yangu mlezi,na sasa ndio naelekea Kilimanjaro kwa mazishi yatakayofanyika kesho.naomba tuzidi kuombeana.
 
Pole sana dear.
Mwenyeenzi Mungu awe nawe
pamoja na familia yako ..
R.I.P baba Dio
 
Pole sana dear.
Mwenyeenzi Mungu awe nawe
pamoja na familia yako ..
R.I.P baba Dio
 
Pole sana kwa msiba mkubwa uliokufika. Nakutakia safari njema na Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
Pole sana kwa msiba Dio. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen.
 
Pole sana mkuu. Kila la kheri,Mungu atangulie kila jambo
 
Asanteni wote tuko pamoja,na tuzidi kuombeana.
 
Pole sana Mkuu DIO,
MUNGU aiweke roho ya marehemu mzee mahali pa starehe ya milele.:embarassed2:
 
Pole sana Dio
Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un
 
pole sana Dio.Mungu ailaze roho ya mzee mahali pema peponi.amen
 
Poleni Sana kwa Msiba Dio, Mungu akutangulie katika Safari yako na yote yalioko mbele yako
 
Asanteni wote tuko pamoja
 
Back
Top Bottom