Wauza bidhaa sokoni kuwashika mademu makalio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wauza bidhaa sokoni kuwashika mademu makalio

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by dazipozi, Dec 1, 2011.

 1. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hii inasumbua sana,msichana anatumwa sokoni na wazazi wake,akifika huko wauzaji,wengine wa2 wazima wanaanza kuwashika maungoni makilio wateja wao hao hata kama hawataki,tabia hi imefika mahali baadhi ya mademu wamekuwa wakipoteza vitu vyao kama vile pochi,saa au simu kutokana na kuwashikashika huko kusikokuwa na mpango.Jamani,acheni tabia hii kwanza wauzaji wengine ni watu wazima majumbani mwenu mnafamilia zenu mabinti kama hoo mnaowashika
   
 2. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Tabia yako mwenyewe
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Source?
   
 4. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,643
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Kama haya yalikufika pole sana
   
 5. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Juzi nilikuwa stendi ya mabasi moshi jamaa wanapiga story wanasema vimini+mibano imepungua hata miruzi haisikiki.
  Nikacheka sana.nukta
   
Loading...