Hawa ndiyo ma ICON wa JF jukwaa la siasa

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Wana bodi heshima mbele wakuu wangu!

Kuna msemo unaosema kuwa ya Mungu mpe mungu na ya Kaisari mpe kaisari au
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! tofauti na hapo ww utakuwa na lako jambo. Siyo siri mwenzenu nimevutiwa na hawa watu
na nimewakubali %100 kutokana na michango yao katika jukwaa la siasa! Najua tuko au muko wengi sana kwenye jukwaa hili na wote
ni wachambuzi wazuri sana kwenye mambo ya kitaifa na hatima ya nchi yetu, lakini kuna vigezo ambavyo vimenifanya nione hawa watu
wako tofauti sana na tuliowengi kwenye jukwaa hili. Nao ni -

1. Mzee mwanakijiji
2. Mkandara
3.Pasco
4.Kiranga
5.Field Mashalls
6.Williams @New york city.com
7.EMT
8.Waberoya
9.FJM
10.Voice of Reason
11.Gurudumu
12.Paka Jimmy
13.Lizzy (huyu si sana lakini anajua kujenga hoja kwa mada husika)
14.AshaDii (huyu yuko kote kote MMU na J la siasa)

Jamani kwa upeo wangu hao watu hapo juu linapokuja swala la kuleta post yake au kuchangia post ya mtu fulani fulani
huwa wanatumia busara na hekima! yaani kwangu mimi naona hawa watu wanaupeo mkubwa sana ndani ya bongo zao.
Hakika kwa mtazamo wangu hawa ni wapembuzi yakinifu ndani ya JF jukwaa la siasa hasa pale tunapojadiri mustakhabari
wa nchi yetu na mambo ya kimataifa! Lakini baadhi ya wengi wetu humu ndani tunashindwa kupambana kwa hoja na bada
la yake tunakimbilia vijembe na matusi au neno crap. Lakini hao watu hapo juu usipime! yaani wanakujibu kwa hoja inayoji
toshereza na mwenyewe unaridhika kwa kukubari au unaingia mitini kwa aibu ya ubishi.

Ndiyo maana mimi nimeamua kuwaita hawa watu ni ma ICON wa JF jukwaa la siasa. Na kama ningekuwa mmoja kati ya Mods
basi ningependekeza hawa watu cheo chao kiwe ni - Super JF Premium member na si JF Premium member.
Au nyie wenzangu munawazungumziaje watu hawa? Kweli unaweza kuwafananisha watu hawa na akina Rejeo? Nawasilisha
 
Hii thread ina tija gani kwa taifa? Peleka fb kule pia jf ipo utapata wenzio wa kushea nao haya
Ndiyo maana nikasema hawa watu wanatofauti sana na siye tuliowengi....si unaona majibu yako? kwani hao watu nimewajulia face book au JF?
 
Lete ishu za kitaifa mkuu, hii peleka chit chat, hapa JLS.
Mkuu nikileta issue za kitaifa na kimataifa ni hawa hawa niliyowataja hapo juu ndiyo watakuchambulia
vizuri kwa mapana na marefu hadi utaridhika.....so kuwasifia siyo mbaya!
 
I like them too! Pia kuna huyu Faiza ni noumer! Ni mbishi kweli hasa ukigusa mafisadi!! Anaweza kuwatetea to the extent km hujui mambo vizuri ukaingia mkenge!
 
vigezo gani umetumia???
wewe sema kwamba hao uliowataja unawakubali, sio kwamba wao ndio wana upeo na uelewa mkubwa katika jukwaa la siasa sikubaliani na wewe....
 
Unachoongea kuhusu Faiza ni kweli kabisa! dada anajua kutetea kile anachokiamini usipime! tena anatetea kwa hoja mzuri sana! ila tatizo lake
hakawii kuhamaki anapokutana na mtu kama Rev Masanilo au Saigon,anaishia kutoa vijembe au maneno machafu
 
vigezo gani umetumia???
wewe sema kwamba hao uliowataja unawakubali, sio kwamba wao ndio wana upeo na uelewa mkubwa katika jukwaa la siasa sikubaliani na wewe....
Mkuu hawa watu ni noma! yaani usipime hata kidogo. Hawa watu wanajua kuidadavua mada (hasa za kisiasa) na hautakuta hata siku moja wakitu
kana au kutoa vijembe....hawa watu kwa jinsi nilivyowasoma mimi wanakaulimbiu ya "hoja hujibiwa kwa hoja" na siyo neno crap kama baadhi ya wengi wetu tulivyo hapa jamvini
 
Wakati mwingine pima impact ya threads zako kabla kuileta humu jamvini, kwani sasa naona wewe ndo unahitajika kujibu kila mwanajf anayetoa kuhusu threads yako.
 
Mkuu sijakupata kabisa....kwani kunakosa gani kusifia mtu au watu wanaostahili kusifiwa? Hao watu hata kama utawapinga hapa,lakini kimoyo
moyo utawasoma tu na kukubari maneno yangu
 
Wana bodi heshima mbele wakuu wangu!

Kuna msemo unaosema kuwa ya Mungu mpe mungu na ya Kaisari mpe kaisari au
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! tofauti na hapo ww utakuwa na lako jambo. Siyo siri mwenzenu nimevutiwa na hawa watu
na nimewakubali %100 kutokana na michango yao katika jukwaa la siasa! Najua tuko au muko wengi sana kwenye jukwaa hili na wote
ni wachambuzi wazuri sana kwenye mambo ya kitaifa na hatima ya nchi yetu, lakini kuna vigezo ambavyo vimenifanya nione hawa watu
wako tofauti sana na tuliowengi kwenye jukwaa hili. Nao ni -

1. Mzee mwanakijiji
2. Mkandara
3.Pasco
4.Kiranga
5.Field Mashalls
6.Williams @New york city.com
7.EMT
8.Waberoya
9.FJM
10.Voice of Reason
11.Gurudumu
12.Paka Jimmy
13.Lizzy (huyu si sana lakini anajua kujenga hoja kwa mada husika)
14.AshaDii (huyu yuko kote kote MMU na J la siasa)

Jamani kwa upeo wangu hao watu hapo juu linapokuja swala la kuleta post yake au kuchangia post ya mtu fulani fulani
huwa wanatumia busara na hekima! yaani kwangu mimi naona hawa watu wanaupeo mkubwa sana ndani ya bongo zao.
Hakika kwa mtazamo wangu hawa ni wapembuzi yakinifu ndani ya JF jukwaa la siasa hasa pale tunapojadiri mustakhabari
wa nchi yetu na mambo ya kimataifa! Lakini baadhi ya wengi wetu humu ndani tunashindwa kupambana kwa hoja na bada
la yake tunakimbilia vijembe na matusi au neno crap. Lakini hao watu hapo juu usipime! yaani wanakujibu kwa hoja inayoji
toshereza na mwenyewe unaridhika kwa kukubari au unaingia mitini kwa aibu ya ubishi.

Ndiyo maana mimi nimeamua kuwaita hawa watu ni ma ICON wa JF jukwaa la siasa. Na kama ningekuwa mmoja kati ya Mods
basi ningependekeza hawa watu cheo chao kiwe ni - Super JF Premium member na si JF Premium member.
Au nyie wenzangu munawazungumziaje watu hawa? Kweli unaweza kuwafananisha watu hawa na akina Rejeo? Nawasilisha
acha ubinafsi,
umemuachia wapi Faiza Foxy?
Malaria Sugu?
 
acha ubinafsi,
umemuachia wapi Faiza Foxy?
Malaria Sugu?
Mkuu hawa watu huwezi kuwafananisha na mtu kama Malaria sugu au Faiza foxy....hapo ni sawa na kufananisha bahari na mto rufiji.
Malaria Sugu hajui kujenga hoja ila anaubishi wa hasira tu....faiza foxy yeye hakawii kurusha vijembe pindi akutanapo na mtu kama
Feedback au Saigon.
 
mkuu unavyodaka comment na kuijibu mwenyewe harakaharaka unaharibu
Mkuu,sasa kama mtu anakuja kwa swali ambalo linanilenga mimi kwanini nisijibu? maana hata wewe mwenyewe umeacha
kutoa coment kwa mada husika na badala yake umeniface mie direct
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom