Habari zinazosemekana ni kwamba X Presida wa Marekani bwana GW amewasili Dar es Salaam Inernational Airport leo Alhasiri. Kesho Hasubui na mapema atakaa na kamati yake kudiscuss kuhusu mradi wake wa URANIUM!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.