JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Matunda yalikuwa yakiongea kwenye miti yake! Chungwa akasema,'mimi naona nafanana na jua', Apple akasema 'mimi nafanana na moyo', Ndizi akasema 'jamani hebu badilisheni story'
2 Reactions
27 Replies
3K Views
FACE BOOK BWANA..kwa hisani ya cheka upasuke Mama Ajiunga Facebook Kwa Jina La *beib Loveee* Baba Ajiunga Kwa Jina La *Pezda wa kitaa* WOTE WAMEJIUNGA FACEBOOK KWA SIRI NA HAWAKUWEKA PICHA...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa wale wanaoishi tanga,morogoro,dar,arusha naomba ushauri.natafuta hotel ya gharama za wastani(isizidi elfu 50)
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni bata kwa kwenda mbele mpaka majogoo!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tafiti zinaonesha kuwa asilimia 60% ya watoto wanaozaliwa nje ya ndoa huwa na uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wa ndani ya ndoa. Sababu ni nini hasa? SOURSE Chunguza top ten ya uliosoma nao
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakubwa kabla ya yote naomba niwatakie members wote merry x mass &happy new year Ingawa sina muda mrefu sana tangu nijiunge na JF lakini kwa huu muda mfupi tu nimetokea kukoshwa mno na hawa...
6 Reactions
61 Replies
5K Views
Nawatakia wachaga wote wk end njema na xsmas ndio hivyo inakaribia tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu zangu za xsms natuma kwa XSPN NA KYACHAKICHE wengine siwafahamu.....
1 Reactions
150 Replies
23K Views
sikukuu ndio hyo hapo! Umejiandaa vip? Yawezekana uko home na familia au unatoka out na marafiki au unaamua kulala kama mimi. Angalia usije ukajiharibia maisha kwa tamaa na vishawishi! Mery Christimas
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Wakuu,kuna rafik yangu hapa,kesho anaenda kutambulishwa kwa mama wa galfrd wake,sasa anaomba ushauri wa jinsi kubehave huko,jins ya kudress etc.over
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wanasiana wapatao 40 walikua wanakwenda kijijini kufanya kampeni bahati mbaya gari lao lili pata ajali mbaya njiani karibu na shamba la mkulima mmoja. mkulima kuona hivyo alichimba kaburi la...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwangu ilinitokea, Nilifurahi kimoyomoyo... cijuw nae alikasirika au alifurahi! JE WEWE IMEWAHI KUKUTOKEA???
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mzungu mmoja alifika benki na nyani wake,akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa kikundi cha waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu",na yeye akaingia benki. Wale waafrika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ok people kazi kwako but i should warn you acha umbea and stop bieng insecure but anyway u can trace anyone apa: CELL PHONE GPS TRACKING by CELL PHONE GPS TRACKING COMPANY
0 Reactions
7 Replies
2K Views
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jambazi aliingia kanisani na bunduki akasema " Wanaosema wanampenda Yesu wabaki humu, wasiompenda watoke nje" Waumini wote wakatoka nje ndani akabaki mchungaji na wazee wawili tu. Jambazi...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu mtu yuko wapi?
1 Reactions
106 Replies
7K Views
jamaa wa kwanza alikula ugali mkubwa sana na gunia la chumvi, huyu akapata nafasi ya 3. Wapili alikula na kikombe cha maji, huyu nusura atangazwe mshindi akawa wa 2. Alieshinda alikula ugali na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/19779-matani-ya-wakenya.html
0 Reactions
0 Replies
860 Views
wapenzi wa chakula hiki msipate taabu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika Dunia ya warembo jina Mariam ni miongoni mwa majina yaliyobarikiwa sana kwa urembo,lakini kwa utafiti usio rasmi mariam(mary) hawajatulia kabisa wana mapepe(malaya). Vilvile happiness huwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom