Mlango na ufunguo wa peponi

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Mtoto alimwuliza baba yake:
Mtoto: Baba, mama ana nini pale miguu inapoanzia?
Baba: Mama yako, ana MLANGO WA PEPONI
Mtoto: Na wewe, umeficha nini hapo miguu inapoanzia?
Baba: Mimi nina UFUNGUO wa kufungulia MLANGO WA PEPONI.
Mtoto: Baba, bora ubadili kitasa kwani rafiki yako unayefanyakazi nae ukiwa safarini huwa anakuja na ufunguo wa ziada.
 
Back
Top Bottom