Wanawake wafanya biashara sokoni wananifurahishaga sana ninaposafiri nao kwenye daladala. Sikiliza mazungumzo yao niliyoyanasa siku za karibuni
Mama wa kwanza: Mama Upendo, mwanangu Robert...
Huu mwaka 2011 nahisi ndo mwaka mbaya kuliko wote...
kwa ujumla wake.......nahisi watu wengi wana hamu na mwaka mpya 2012 uje haraka...lol
hebu tazama haya tu
1.tsunami ya japan wamekufa maelfu...
Siku moja wanafunzi wa kidato cha nne walikuwa wanafanya mtihani wa Civics...wakakuta swali linalouliza kuwa " Draw and label the female reproductive organ yaani uke.
Dada mmoja alijaribu...
Hivi ikitokea kukawa na party ya wana jamii forum au mkutano utakaojumuisha wanajamii forum wote wanaochat na kuchangia mada mbalimbali humu jamvini tukaonana uso kwa uso na kuchangia hizi mada...
Hivi ni kweli kwamba kuna mtu anakuwa anachukiwa bila sababu,yaani kwamba kazaliwa tu hivyo.
Acha ile hali ya kawaida kwa mwanadamu
kuwa hawezi kupendwa na wote,hata manabii hawakupendwa na...
Jina: Ousofia
Jinsia: ya kiume halafu namtafuta mrembo atayenifaa
Cheo unayotaka: Rais au makamu wa kampuni,ila sipendekezi sana hizo nafasi mpaka mtakaponiajiri kwanza.
Kiasi cha mshahara...
After having failed his exam in "Logistics and Organization" , a student goes and confronts his lecturer about it.
Student: "Sir, do you really understand anything about the subject?"...
Mke kanunua line ya airtel
amsurprise mumewe, Mume
amekaa sitting room, mke
akaenda jikoni akampigia mume
na number mpya akasema
"HALLO DARLING", Mume
hakuijua number akajibu kwa
sauti ya...
hivi kweli kuna dawa za kichina za kuongeza maumbile au ni imani tu?...manake siku hizi akipita dada mwenye labda wowowo kubwa utasikia watu wakisema kazi ya mchina hiyo.....hii kitu ipo au ni...
Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu
Criiiii Criiii Criiii Criiii
Ritz:
Dah! Mhashimiwa anapiga simu. Naam Mkuu!
Nape:
Habari yako Comrade?
Ritz:
Salama tu Mheshimiwa
NAPE...
Kuna jamaa yangu alikuwa akisoma pale Ikizu.
Siku ya mtihani aliandika mistari yake ya majibu kwenye FAN lile la (panga boi) usawa na kiti chake,kisha akawa anapigia chabo kujibu mtihani.
Kituko...
kichaa flani alipita mbugani akiwa uchi. wanyama wote wakakimbia. fisi akamuuliza simba. fisi:simba hata wewe umekimbia? simba:dah yule mnyama wa ajabu sijapata kuona, mkia wake uko kwa mbele.
An American businessman was in Japan. He hired a local hooker and was going at it all night with her. She kept screaming "Fujifoo, Fugifoo!!!", which the guy took to be pleasurable.. The next day...
(BOSS to his SECRETARY):Jiandae,kesho tuna safari ya kikazi!>>>> (SECRETARY to her HUSBAND):Mume wangu,kesho nitasafiri na bosi kikazi!>>>>> (HUSBAND to his GIRLFRIEND):Kesho wife...
kulikuwa na majuha wawili wanaongea na mazungumzo yao yalikuwa hivi...
Juha1:ivi jombaa kati ya morogoro na mwezini wapi mbali!!?
Juha2:iiii ebu jiangalie na maswali yako ya kitoto wewe,kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.