Nina bahati na totoz za kihaya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina bahati na totoz za kihaya.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Perry, Dec 2, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Kila mmanzi ninae kutana nae ktk maisha yangu akanipenda kwa dhati bac lazima awe ana damu ya kihaya...sema mwenyewe tu huwa nawazingua watoto watu..kuna mwingne humu jf mwenye bahat ka yangu jaman?
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mi nawaogopa kama ukoma nilipigwa mzinga wa starlet wkt hata bike sina. Hongera mkuu.
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  kwa nini unadhani ni bahati kupendwa na muhaya..? vipi kuhusu mchaga.. na kabila zingine..? ninong`oneze what is soo special kuhusu hawa mashori wa kihaya..?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  Unawazingua? Unajizungua?
   
 5. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,725
  Trophy Points: 280
  Unabahati y akupendwa au unawapenda??? Fafanua puliiizi. Ungekuwa ke hiyo statement ingekuwa sawa; wewe ni me kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ndo unawashobokea.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Anaona ujiko toto za kihaya zinafamika kama matawi huko geti kali.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  wananipenda meeen.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  sio ujiko mkuu,cjui wanazimika na nin wenyewe.
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  nawazingua.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  inategemea na wewe ulvojiingza mkuu..sa kama ulimwambia unafanya kazi white house,unategemea nin hapo?
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hongera zako
   
 12. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wewe unatoka famiria ipi? unareta matani na watu wa kamashumu, kashozi...eehh ngoja nim-consult prof Rugaimukamu wa sociology pale Harvard anaweza kuwa na majibu mazuri yeye ni mkuu pale ana doctorate nyingi tu.
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ila kweli nyie wanaume sometimes mwajidai saana eeeh?? Dah!
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  sa tunajidai na nin Asha Dii?
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  In sexual relationship, always men have an upper hand and to them that seems like an advantage
   
 16. F

  FredKavishe Verified User

  #16
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu uko kama mimi kaz kwel kwel
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  For starters kwanini usingesema kua "I think nina tatizo for naumiza saana Mabinti" bila kuzungumzia kwa majigambo?


  Hio ni wazi na haibishiki!! But do men have to be pigheads to emphasize their upper hand?
   
 18. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,940
  Likes Received: 1,477
  Trophy Points: 280
  Manzi ni nini tena?
   
 19. U

  Usiku huu Member

  #19
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sometimes Wanawake wa kihaya wana mapenzi ya kweli, nimewahi kuwa na uhusiano mara 3 na wahaya na mke wangu mimi ni mhaya, so i can tell the different...
  Ila usirogwe uwafate wazaramo, yaan balaaa,.
  Ushauri;- usiwazingue kaka,.inaelekea wewe ni mpole na huna majivuno ndio maana unapendwa nao, coz wapo opposite na majivuno na majigambo(ya kaka zao).
   
 20. G

  Graucho Member

  #20
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lazima we ndo unawshobokea kwani hao totoz wanajua mambo kweli, ulionjeshwa mwanzo sa ndo ukaamua kuchonga mzinga kwa totoz yeyote wa kihaya anayepita machoni kwako...unabahati sna kwani wengine tunawatafuta ila hatujawahi kuwapata..nipe vigezo nami vya kuwapata nami nijaribu..hahahaha!!
   
Loading...