Kichekesho kipi 2011

sakapal

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,804
1,424
mimi binafsi nilichekeshwa na kichekesho cha wangoni na masista kujaza mafuta kwa mkojo pamoja na cha punda kujazwa mafuta na mwenye punda kuinama kujazwa mafutani hapa nilipo nimebana mbavu zangu kwa kicheko pia nimekumbuka kichekesho cha mhaya na kazi ya mtoto wake bora kuliko ya mwenzake kwamba anahudumua wagonjwa walishindikana kwa madakatari bingwa lol nishikeni mbavu zangu sikumbuki ni nani waliposti vichekesho hivi

je ni kichekesho kipi unachokikumbuka kilikuchekesha sana kwa mwaka 2011

jamii forum ni kucheka na raha kwa kwenda mbele
 
Cha rastaman ufukweni, na mtoto kumpiga ndege wake, miksa kupasuwa mayai yake...
 
uuuuwi haya kichekesho kimepungua kidogo nakumbuka hv hapo kwa wangoni nakumbuka mngoni mmoja aliomba lifti alikuwa na mke wake na watoto wadogo mwenye lori akamwambia mama kaa mbele na watoto na mzee kaa nyuma waliposhuka akamshukuru dereva akisema '' ASANTI DEREVI KWA KUMTII MKE WANGU NA WATOTO WANGU MBELE NA MIMI KUNTII NYUMA NASHIKURI SANA'' lol sina mbavu
 
Siku moja nyani alichoka kuishi akatafuta all means ya kujiua akashindwa!akamfata simba alielala na kumchokoza ili aliwe afe!basi alienda akamtia kidole" NYUMA"mpka simba akaamka.simba akauliza..ni nan huyo?NYANI:ni mimi..!simba akauliza,kuna yeyote kaona?NYAN:hapana..!SIMBA:basi fanya tena..!
 
vile vya kingoni nakumbuka kimoja kilikuwa hivi, baba anamuuliza binti yake, unauhakika unachokinena? unauhakikaunachokisimi? bila kujua kama anamuuliza bintiye sehemu zake za siri......
 
Siku moja nyani alichoka kuishi akatafuta all means ya kujiua akashindwa!akamfata simba alielala na kumchokoza ili aliwe afe!basi alienda akamtia kidole" NYUMA"mpka simba akaamka.simba akauliza..ni nan huyo?NYANI:ni mimi..!simba akauliza,kuna yeyote kaona?NYAN:hapana..!SIMBA:basi fanya tena..!
Khaaaa! Mpk simba machoko, haifai hii jamani.
 
Kichekesho changu cha mwaka ni kile cha mchina, mjerumani na mtanzania kushindana kwa teknolojia nchini kwao ambapo mchina alizaliwa mtu hana mikono walimwekea ya bandia akawa bingwa wa masumbi (kama sikosei), na mjerumani alizaliwa mtu hana miguu, wakamwekea miguu ya bandia akaja akawa bingwa wa olimpic mara 3 mfululizo kilishonifurahisha ni ilew mtanzania kuwaambia wenzake cha mtoto

Kwao alizaliwa kijana karibu na bagamoyo hana kishwa, wakamwekea nazi na sasa ni rais wa nchi

Hii sitoisahau, nilisheka ilikuwa usiku hadi jirani yangu alikuja kunigongea geti kuna nini huku jirani salama?
 
naikumbuka hii pia iliniacha hoi mbavu mkononi haaaa
nimekumbuka na kile kichekesho cha watu kucheka tuu karibu wiki mbili watu walikuwa wanacheka tuuuu kama hivi
kwiiikwiiikwiiii tehetehetehe tihitihitihi hahahaaaaaaa uwiiiiiiiiii mamaaaaaa weeeeeee hihihiiiiiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom