Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
haya mabenki ya hapa nchini sijui yakoje bwana
nilikuwa na mpango wa kumtolea mungu sadaka ya shukrani
nimezunguka atm kibao mjini hola yaani nimetoa sadaka ambayo sio halali kwa sababu ya uzushi wa haya mabenki
yaani matumizi yangu mwenyewe ni vile nina wadhamini sijui ningeenjoy vp ile sikukuu mie
sijui niwashtaki.siwezi kufanya kazi mwaka mzima mwishowe ninyimwe hela yangu
upuuuuuuzi mtupu
utaskia tuna atm sijui 550 nchi nzima
oooh wengine tupo hadi korea kusini
kumbe hawana lolote
kiboko yenu m pesa na tigo pesa na aertel nao wamekuja
mnanikosanisha na mungu wangu mimi.?
je ningekuwa sina wadhamini mimi mwenyewe ingekuwaje? ila tz shida jamani mgao hadi kwenye hela yangu dah