Kipindi hiki cha x-mass na new year wanaume tutapokea simu na sms za aina hii?

Kiluvya2011

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
215
31
1. Dear, kodi ya pango inaisha January 2012 na mwenye nyumba ameongeza kodi. I love you much!'
2. Baby, xmas itakuwaje nataka nikafanye shopping Mariedo. Na nataka kwenda kusuka mwenge, naomba TShs 1,000,000. Xoxo.'
3. Mpenzi, sasa Kova utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on new year's eve? Missing you badly!'
4. Sweetie, naomba uniongezee TShs 600,000 niweze kumalizia school fees ya mdogo wangu. Kiss and hug.'
5. Mama na wadogo zangu watakuwepo wakati wa sikukuu hii. Kwahiyo naomba hela ya shopping ya chakula my love. Bye!'
6. Sweetheart, nimeishiwa naomba pesa ya mafuta kama TShs 200,000 ukiweza please. Chat later baby.
7. Laazizi wangu, si unakumbuka birthday yangu ni 25/12, so maandalizi ni kama 800,000, love u much, mwamwaa
8.waukweli, usisahau kumzuga gadafi kwamba unapart ya ofisi funga mwaka inafanyikia bagamoyo siku ya mkesha wa mwaka mpya, am crazy on u, call me later!
9.My King nipo Mlima city hapa nimependa kiatu cha kutokea kesho club ni kama 250,000 naomba unitumie kwa M-Pesa, C u bidae & one tongue kiss for u.
10. Honey wangu, mafuriko yamepeba kila kitu cha mama, sasa ule mpango wa 1,500,000 nitumie kwa account yangu ya NMB, missing ur joto baby..

……………unaweza ongezea sms ulizo tuma au kutumiwa weekend hii…….
 
yaani hii sredi imeibiwa, hadi imerudi tena jf
kloro ona ubunifu wa watu wako ukiangamizwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom