Nani muoga?

Nani muoga?

sixlove

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
579
Reaction score
414
Siku moja katika familia fulani, baba na mama waliamua kuwauliza watoto wao, je kati yao nani muoga, na mazungumzo yao yalikuwa hivi:

baba: eti wanangu kati ya mimi na mama yenu ni nani muoga?
mtoto wa kwanza. mama ndio muoga kwani baba huwa akisafiri mama hawezi kutoka nje peke yake usiku
mtoto wa pili: baba ndio muoga kwani mama akisafiri, baba huwa hawezi kulala peke yake, huwa analala na housegirl.




TABIRI KILICHOTOKEA
 
kuvunjana viungo then inapigwa mechi ya maana kwa hasira
 
hisia za kummeza mtu,huku akiwa ameuma meno kwa hacra.
 
Back
Top Bottom