Unajivunia nini kwa mwaka 2011? What're u proud of for year 2011? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajivunia nini kwa mwaka 2011? What're u proud of for year 2011?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MpigaKura, Dec 29, 2011.

 1. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wengi wetu hujikuta tukifuata bendera kwa kusherehekea mwaka mpya.

  Lakini hebu mwana JF mwenzangu nijuze kuwa unajivunia kitu/vitu gani (targets) gani ambazo ni mafanikio kwa mwaka huu unaoisha?
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Targets zangu haziendani na mwaka mpya
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Targets zangu nyingi has msingi zimekua realised pamoja na zile ambazo sikutarajia.... 2011 has been good to me....
   
 4. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Lengo langu kubwa ni la muda mrefu - masomo - ijapokuwa bado kumaliza, ninajivunia hatua ninazogiga kila mwaka ikiwemo 2011.
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kila nilichoplan 1.1.11. Kimefanikiwa even tho kulikuwa na makorongo mengi kuliko nilivyo Tarajia .. now I'm one step closer
  kukamilisha ndoto Zangu hopeful zitaenda
  Kama nlivyo plan ..
  Hope for the best , prepare for the worse.

  2012 mwaka mkubwa sana . Ni mwaka
  Wa kufunga na kifungua , kumalizia na
  Kuanza ........ ......... .........
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kila Heri na Mafanikio Sister.
   
Loading...