darasani

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Mwalimu: Maandazi sita ukitoa mawili hubaki mangapi?
Mwanafunzi: Ukinipa na mchuzi hakibaki kitu.
 
yale yaleee!
MWALIMU:Kiazi kimoja ukikata kati unapata nini?
MWANAFUNZI: Nusu mbili
MWALIMU:Ukikata tena?
MWANAFUNZI: Unapata robo
MWALIMU: Ukikatakata tena?
MWANAFUNZI:Unapata chipsi!
 
Yaleyaleeeeeeeee...
Mwalimu:Kati ya jua na mwezi kipi muhimu?
Mwanafunzi:Mwezi mwalim!
Mwalim:Kwa nini?
Mwanafunzi:Mwezi unamulika usiku kwenye giza,na wakati jua linamulika mchana wakati kuna mwanga tayari!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom