Jamii forum party/meeting

Jamii forum party/meeting

sakapal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,804
Reaction score
1,425
Hivi ikitokea kukawa na party ya wana jamii forum au mkutano utakaojumuisha wanajamii forum wote wanaochat na kuchangia mada mbalimbali humu jamvini tukaonana uso kwa uso na kuchangia hizi mada live itakuwaje? Navuta hisia sipati picha nikisalimiana na uporoto, nikicheka na kugonga na lizzy au nikichangia mada aliyoianzisha king'asti.
Wewe kama mwana jukwaa la jamii forum unafikiri kwenye hiyo part/mkutano watu wataanzisha mada kama hivi wanavoandika? Na pia watachangia na kutoa majibu kama haya wanayoandika? Unaweza fikiri umri utakuwa kuanzia rika lipi? Wazee, vijana, wanene, wafupi ...

Karibu uweke mawazo unayofikiri party ya jf itakavokuwa.
 
I thought of it nikaanzisha Uzi wa JF secret society raia wamenikalia kooni. Gudluck mate
 
kwa MMU hiyo ni kawaida sana....hasa siku kama ya leo....lazima tukutane kusuuza roho zetu.....wana jukwaa la siasa sijui kama huwa wanakutana.....sina uhakika....
 
why not............tutachingia tu! Ila dah kule kwa Kimbweka sijui kutakuwa na uchangiaji gani!
 
Kuna watu ni vigumu hata kukaa nao kwa dk 2! Emagine unakutana na Rejao, FF, Mwita25 and the like! Siku inaharibika
 
teh! teh! teh! itakuwa kiharakati zaidi.:nerd::nerd::nerd:
 
Unajua ngumu kutoa maoni kwkua huo mkusanyiko hujaupatia specific jina ukiita party swali litakua patakuaje na mabadilishano ya uchangiaji mada kwani Jf ni watu wazima ndy kusema kuna watakaokua wamepombeka! Nna imani 100% hapa jf vyapombe ni wengi tu, aidha lbd uipe titlle ya "mdahalo" au "kongamano" "warsha" "mkutano" "debate" "JF fiesta" "semina" moja ktk hayo.
 
Hivi tunavyochangia incognito ina mashamsham yake. Uso kwa uso? Mimi hupata kigugumizi. Wengine nyie mmetumwa mnaweza mgatubagua na kutuzimisha kimya kimya.
 
Sakapal, mie pia nna hamu ya kupiga soga na wewe. Ila inabidi useme kwanza maana ya jina lako aisee...
 
napata picha Nape, Regia, Kigwangala, Zitto wote ndani!!!
 
Unajua ngumu kutoa maoni kwkua huo mkusanyiko hujaupatia specific jina ukiita party swali litakua patakuaje na mabadilishano ya uchangiaji mada kwani Jf ni watu wazima ndy kusema kuna watakaokua wamepombeka! Nna imani 100% hapa jf vyapombe ni wengi tu, aidha lbd uipe titlle ya "mdahalo" au "kongamano" "warsha" "mkutano" "debate" "JF fiesta" "semina" moja ktk hayo.

Kama Mr Zimba ni noumeri!! Ila mi ningependa kukutana na Excellent.
 
Mie ningependa nikutane na Bulesi, mabandiko yake machache lakini yamekwenda shule!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom