Hata vijana wa shule ni mafisadi siku hizi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hata vijana wa shule ni mafisadi siku hizi!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by SHIEKA, Dec 29, 2011.

 1. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Wanawake wafanya biashara sokoni wananifurahishaga sana ninaposafiri nao kwenye daladala. Sikiliza mazungumzo yao niliyoyanasa siku za karibuni
  Mama wa kwanza: Mama Upendo, mwanangu Robert anaanza kuwa fisadi shuleni.
  Mama Upendo:(kwa sauti ya hamaki): Robert! Huyu anayesoma sekondari ya Kaninga?
  Mama wa kwanza: Eee mwaya!
  Mama Upendo: Fisadi kwa vipi huko shuleni?
  Mama wa kwanza: Si ameniletea ripoti ya shuleni mamangu!
  Mama upendo: Enhe!
  Mama wa kwanza: Masomo mengi ameandikiwa F F F tu mamangu. Hiyo si manake Fisadi mama upendo?
  Mama upendo: Ah wapi bwana!
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  No comment, nilipita tu...
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  huyu mama kilaza kweli, bila shaka atakuwa ni mama ake na WAKU........ Wadau mtamalizia hapo kwenye deshi deshi mi naogopa kupigwa ban
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  duuuuuuu! hiyo ni kali ya kufungia mwaka hii!
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Teh teh,mama kilaza.
   
 6. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  mimi namalizia.

  Mama yake WA KUSOMA, a.k.a Complicator
   
 7. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Kumbe!
   
Loading...