amia airtel kwa step...

guccio

Senior Member
Feb 20, 2011
137
22
Mke kanunua line ya airtel
amsurprise mumewe, Mume
amekaa sitting room, mke
akaenda jikoni akampigia mume
na number mpya akasema
"HALLO DARLING", Mume
hakuijua number akajibu kwa
sauti ya chini "KATA
NTAKUPIGIA...! HII NG'OMBE
YANGU IKO JIKONI"
.......... yaliofuata angalia attachment!
 

Attachments

  • rada.jpg
    rada.jpg
    21 KB · Views: 102
Mh! Kaka hii imetulia. Vipi hujamuona WA KUSOMA akichungulia humu kama guest? Nasikia rufaa yake matatizo matupu.
 
kwa mujibu wa waheshimiwa wadau we ndo wa kusoma,je kuna ukweli wowote juu ya tuhuma hizo....
 
Mh! Kaka hii imetulia. Vipi hujamuona WA KUSOMA akichungulia humu kama guest? Nasikia rufaa yake matatizo matupu.

Aaah! Acha uzushi complicator wakusoma yupi tena wakati wakusoma ndo wewe, we si ulitudanganya kuwa unaomba ban kumbe ulikuwa unatuzuga ili uitelekeze id ya wakusoma na ufungue id nyingine, hongera kwa hilo umefanikiwa kijana
 
Mke kanunua line ya airtel
amsurprise mumewe, Mume
amekaa sitting room, mke
akaenda jikoni akampigia mume
na number mpya akasema
"HALLO DARLING", Mume
hakuijua number akajibu kwa
sauti ya chini "KATA
NTAKUPIGIA...! HII NG'OMBE
YANGU IKO JIKONI"
.......... yaliofuata angalia attachment!

Hii ni kali mno. Japo kiswahili umekosea. Badala ya "AMIA" SEMA "HAMIA"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom