Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by TUMBIRI, Dec 28, 2011.

 1. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu

  Criiiii Criiii Criiii Criiii
  [TABLE="class: MsoTableGrid"]
  [TR]
  [TD]Ritz:
  [/TD]
  [TD]Dah! Mhashimiwa anapiga simu. Naam Mkuu!

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]Nape:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Habari yako Comrade?

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]Ritz:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Salama tu Mheshimiwa

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]NAPE:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Kazi niliyowapa inaendaendaje?

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]Ritz:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Inaendelea vizuri tu Kamanda

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]NAPE:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Jana nilipita JF nikakakuta thread nyingi ni Pro-CDM

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]Ritz:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Ni kweli Kamanda. Tunaendelea kupambana si unajua mwanzo mgumu

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]NAPE:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Alafu hivi Malaria Sugu yupo? Sioni kabisa thread na coment zake siku hizi!

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]Ritz:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Afadhali umeuliza Mkuu. Usema kweli Rejao, FF na MS wananitegea sana. Na ndiyo maana thread za Pro-CDM zinaongezeka kwa sababu kazi inanizidi kimo

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]NAPE:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Waambie sitaki mchezo. Chama kinawalipa alafu kazi hawafanyi! Waambie ntawashtaki kwa Katibu Mkuu

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]Ritz:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Sawa Kamanda. Sasa Vipi kuhusu mishahara yetu ya mwezi uliopita na mwezi huu?

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]NAPE:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Wa mwezi uliopita mtalipwa mwezi huu ila wa mwezi huu msubiri kwanza. Si mnajua chama kina Crisis ya fedha. Ruzuku yenyewe si mnajua ni Shilingi 800 Million tu!

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]Ritz:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Sawa Kamanda. Kitu kingine Mkuu tufanyieni utaratibu mtununulie Laptop maana kazi ya kuingia kwenye Internet Café kufanya kazi ya Chama ni ngumu sana. Kwanza ni gharama na pia tunakuwa at risk kugundulika kwa Wananchi

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]NAPE:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Hilo ntalifanyia kazi. Kitu kingine?

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]Ritz:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Hamna Kamanda!

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]NAPE:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Sawa basi emu ingia sasa hivi JF Jukwaa la Siasa naona kuna thread inamuhusu Hamad Rashid, Regia Mtema na Godbless Lema. Emu kazicrash crash!

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]Ritz:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Sawa Mkuu!

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 56, bgcolor: transparent"]NAPE:
  [/TD]
  [TD="width: 534, bgcolor: transparent"]Haya kazi njema Mpiganaji!
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,168
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  very creative! uejitahidi kutunga hadithi...
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,412
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ni Rtz au Ritz?
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  upuuzi
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,971
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  siri za chadema zimeanza kutoka kumbe ndio mbinu inayotumika kuifanya JF kuwa na mada nyingi zinazounga chadema. Mnalipwa kwa kazi hiyo kama CCM nayo ingefanya hivyo kungekuwa na tofauti NAPE umeipata hiyo ni mbinu ya washindani wenu imewekwa wazi
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,971
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwa jinsi Muenendo wa JF ulivyo mawasiliano hayo inafaa kuwa ni mawasiliano kati ya DR Slaa, Mbowe, na Godbless Lema kwani chadema ndio wanatawala jukwaa hili na ndipo unaona siri inatoka kwa wajumbe waliaasi chadema au hawajalipwa hivyo wameanza kui-support CCM
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,971
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mawasiliano haya ni kama utani (joke) lakini yana ujumbe mkubwa wa kile wanachokifanya chadema kuitawala JF ...... CCM mpo siri haiwezi kuwa siri daima chadema wameanza kujianika
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,971
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jukwaa hili la ajabu kuna thread hapa hapa ilikuwa inasema Rihz na Nape si kambi moja leo mwingine anatoa utani wa mawasiliano uongo uliojaa uongo
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,305
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  FF ni mtu mzima,kutumwa na nape ni kujivunjia heshima(nape ni kilaza kuliko FF)
   
 10. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,473
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Kwa nini unafikili CHADEMA wanafanya hivyo na CCM hawafanyi hivyo?
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,971
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kama CCM ingekuwa inatumia mbinu hii JF isingekuwa kama ilivyo sasa ambapo mashambulizi mengi yako dhidi ya CCM ndio sababu naona hii ni mbinu ya chadema
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,294
  Likes Received: 1,656
  Trophy Points: 280
  Wanao tetea ccm ujue wana vimirija vya ufisadi ktk taasisi za serikalini eg wanaimport na kuuza Magari kwa kukwepa kodi tra
   
 13. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,876
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  we pipijojo mbona povu linakutoooooooooka its just a joke! A joke
   
 14. deadteja

  deadteja JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 368
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  La ajabu si kidogo mkuu. Lakini na wewe unalipwa kiasi gani na magamba mkuu? Manake naona unajitahidi kutoa ushawishi japo hakuna wajinga wengi wa kukupa support!
   
 15. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3,907
  Likes Received: 833
  Trophy Points: 280
  tena anaweka herufi ndogo ritz
   
 16. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,500
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Hata kama CDM watumie mbinu gani, hawawezi kuangusha CCM hata siku moja.
   
 17. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,250
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  kudadadeki, kumbe mnaokomaa mpaka mishipa ya uso, mishipa ya shingo, mishipa ya kinyeo, mapovuuuuuuu kibao mdomoni mkiyatetea mafisadi pia magamba ya ccm mnakuwa mnafanya kazi ya nape?? Kweli mmechoka eeh ata uyu mwenye uji badala ya akili kichwani anaweza kuwa tuma mkaheshimu, sikuwa nimewafahamu. Rejeo, ff muhatari sana nyie. Ndo maana mapwenti yenu janvin yamekaa kimasabuli masabuli, aah from now nimewadharau sana ata laptop mnaomba watumwa nyie
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huu upuuzi tu!
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 0
  Kwa nini povu lisimtoke wakati joke inafanana na ukweli? Nae ni wale wale sasa hapa anaona kama anavuliwa nguo hadharani!
   
 20. t

  thatha JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,210
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  JF ni ya CDM sasa kuna wana CDM ambao wanachukia upotoshaji na uongo mwingi unaoendelea humu wanaamua kueleza ukweli na uhalisia wa mambo sasa wale waongo wanachukia kuambiwa ukweli kuwa ni waongo....
   
Loading...