Mchina.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchina....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Jestina, Dec 28, 2011.

 1. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hivi kweli kuna dawa za kichina za kuongeza maumbile au ni imani tu?...manake siku hizi akipita dada mwenye labda wowowo kubwa utasikia watu wakisema kazi ya mchina hiyo.....hii kitu ipo au ni maneno tu? wana JF kama mpo mliowahi kutumia dawa za kichina na zikafanya kazi tupeni uzoefu wenu.......mie nataka kiuno cha nyigu,niongezeke wowowo,na niwe na guu la bia,dawa gani zinanifaa? lol
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Zipo kweli na procedures zipo pia ingawa hilo jina "Mchina" nadhani linatumika kama generic tu.
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  alaah zipo kweli? NN nitafutie dawa ya kuongeza makalio na miguu na kupunguza tumbo kunifanya niwe kiuno cha nyigu lol
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nirushie PM
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu shostito we ni mkare halafu ukifanikiwa urudi kutoa ushuhuda sawa..
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Dawa kubwa ni mazoezi tu Neema. Unajua skeleton za binadamu zimefanana sana, kinacho tofautisha zaidi ni muscle na fat. Ikiwa utaanza mazoezi ya kawaida kwa kupunguza mafuta alafu ufanye na body building kuongeza muscle utakua na shape nzuri tu.
  Hivi makalio makubwa unataka ya nini? I personally don't like it kabisaaaa. Maybe sababu yangu hayako hivo? (Siyataki mabichi haya...)
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tumia mchina alafu manyama yakianza kulegea kila kona urudi hapa kulia.
   
 8. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Neema,
  yaani benefits zako ulizopata kutokana na kazi ya kuwaosha wazee ulaya sasa unataka kutumia kujiharibu badala ya kufanyia kitu cha maana dadangu. Wewe hata hujiulizi ni kwanini dawa zitoke china wkt wachina wengi hata shepu hawana, mbona wao hawazitumii? Sasa wewe tafuta hizo dawa halafu muda si mrefu mwili wako utatepeta kama minyama ya kwenye mikono ya bibi/babu wa miaka 100 hivi. Halafu kumbuka, hakuna dawa itakayokusaidia kuondoa hali hiyo.

  Neema mimi nakushauri uachane na mpango huo na badala yake zingatia mazoezi na lishe bora-hasa vyakula vya asili nawe utakuwa mzuri tu. Pia, jaribu kujiamini jinsi ulivyo kwani u-mzuri sana na achana na mawazo ya kuwa-artificial.
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wewe utakuwa na laana unashindwa kuridhika na shepu uliyopewa na Mungu, badala yake unataka kumsahihisha
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyu uki m PM badala ya kukupa dawa yakuondoa kitambia atakuwekea kitambi
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahahaha RR mambo ya sizitaki mbichi hizi eeh
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  mchina kazini
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ushuhuda atakaokuja nao hapa ni Saburi moja kuwa kubwa na jingine dogo na majuto kibao
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ushauri mzuri huo Neema ufuatilie na kuachana na mambo yakubipu mwili wako
   
 15. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  nataka ya kupunguza wowowo
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama ushauri umekwisha kupewa mzuri sana sasa kazi kwako ney kuamua kufuata ama kupuuza
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kwani lengo la mchina ni nini jamani?
   
 18. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  *Cough, cough*
   
 19. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mchina ana malengo mengi sana :lol:
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kukamata wajinga wajinga!!
   
Loading...