Najisikia Njaa!!!!!!!!!!!!!

tumeshakula au mwenzetu mlo mmoja unataka kubalance lunch na dinner
 
Kwani kuhisi na kujisikia kunatofauti?
  • Maana najisikia tumbo linaunguruma "Kruuuuu""
  • Nahisi tumbo linauma uma na kung'atang'ata
Utajaza mwenyewe uswahili sahihi, mradi msg "sent" and "delivered" and "read" and "replied"
 
huku JF hakuna mamantilie

niko hapa mama ntilie nani anataka kupakuliwa nikutilie mchuzi au andazi we chapati we muhogo we maharage nimeshakupa ngoja basi nikujazie mie ndo mama ntilie nani ana njaa bakuli sh mia tu
 
niko hapa mama ntilie nani anataka kupakuliwa nikutilie mchuzi au andazi we chapati we muhogo we maharage nimeshakupa ngoja basi nikujazie mie ndo mama ntilie nani ana njaa bakuli sh mia tu
itabidi tuzungumze kule PM
 
niko hapa mama ntilie nani anataka kupakuliwa nikutilie mchuzi au andazi we chapati we muhogo we maharage nimeshakupa ngoja basi nikujazie mie ndo mama ntilie nani ana njaa bakuli sh mia tu

Mama ntilie mchuzi wako sio mtamu
 
mi nimepata breakfast welcome lunch yaani chai nzito ya saa tano asubuhi hivyo hiyo ina save breakfast na lunch msosi tena hadi usiku. si unajua maisha ya mtumishi wa umma
 
Watanzania hawawezi kugoma na kuandamana iwapo mkate utakuwa haupatikani ni tofauti na Nigeria ambapo mkate ukikosekana ni ugomvi, je ni chakula gani tz kikiadimika chaweza leta mgogoro?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom