Nausubiri kwa hamu sana mwaka 2012.......

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,063
115,462
Huu mwaka 2011 nahisi ndo mwaka mbaya kuliko wote...
kwa ujumla wake.......nahisi watu wengi wana hamu na mwaka mpya 2012 uje haraka...lol
hebu tazama haya tu
1.tsunami ya japan wamekufa maelfu
2.machafuko middle east wamekufa mamia...
na mengineyo meengi

hapa Tanzania....
1.gongo la mboto...wamekufa wengi
2.ajali ya boti zanzibar-wamekufa wengi nahisi ndo ajali kubwa kuliko zote
3 na mwisho mvua kubwa kuliko zote tangu uhuru na watu wengi wamekufa dar....

sikumbuki mwaka uliokuwa na mabalaa mengi kama huu
achilia mbali kupanda kwa gharama za maisha na bei za vyakula......

kila mtu unamsikia analalamika masuala ya fedha.....
waliokuwa wanaenda benki once per week sasa wanaenda benki hata mara tatu kwa wiki...
utasema kuna 'mapepo' yanatusaidia matumizi lol...

wanasema odd number kama 11 inakuwaga ngumu na even number kama 12 ni nzuri zaidi
so mwaka 2012 unadaiwa utakuwa nafuu na mzuri kwa wengi......

mimi nakumbuka mwaka 1992 na mwaka 2002 ilikuwa miaka mizuri sana kwangu na kwa ujumla
naamini mwaka 2012 utakuwa mzuri au better kulinganisha na mwaka 2011.....

happy new year woote.....karibu sana 2012............:poa:poa:poa:poa
 
Hahahahaa!!! The Boss kwa hayo ya kitaifa zaidi ni kweli mwaka 2011 upishilie mbali!!
Lakini kwangu Mwaka 2011 sitausahau Maishani mwangu ndo mwaka ambao umenionesha WHO I AM!!!
I will miss U 2011!!!
 
sio ww tu hata mm nasubiria uje na huo upite ili uje 2015 tuwang'oe magamba wote mana nina hamu nao kinoma
 
Hahahahaa!!! The Boss kwa hayo ya kitaifa zaidi ni kweli mwaka 2011 upishilie mbali!!
Lakini kwangu Mwaka 2011 sitausahau Maishani mwangu ndo mwaka ambao umenionesha WHO I AM!!!
I will miss U 2011!!!

hongera aisee
hata mimi malengo nimekamilisha kwa asilimia zaidi ya 60
so sio mbaya sana personally lakini dahhhh
huu mwaka ulikuwa 'dume' aisee...
 
Huu mwaka 2011 nahisi ndo mwaka mbaya kuliko wote...
kwa ujumla wake.......nahisi watu wengi wana hamu na mwaka mpya 2012 uje haraka...lol
hebu tazama haya tu
1.tsunami ya japan wamekufa maelfu
2.machafuko middle east wamekufa mamia...
na mengineyo meengi

hapa Tanzania....
1.gongo la mboto...wamekufa wengi
2.ajali ya boti zanzibar-wamekufa wengi nahisi ndo ajali kubwa kuliko zote
3 na mwisho mvua kubwa kuliko zote tangu uhuru na watu wengi wamekufa dar....

sikumbuki mwaka uliokuwa na mabalaa mengi kama huu
achilia mbali kupanda kwa gharama za maisha na bei za vyakula......

kila mtu unamsikia analalamika masuala ya fedha.....
waliokuwa wanaenda benki once per week sasa wanaenda benki hata mara tatu kwa wiki...
utasema kuna 'mapepo' yanatusaidia matumizi lol...

wanasema odd number kama 11 inakuwaga ngumu na even number kama 12 ni nzuri zaidi
so mwaka 2012 unadaiwa utakuwa nafuu na mzuri kwa wengi......

mimi nakumbuka mwaka 1992 na mwaka 2002 ilikuwa miaka mizuri sana kwangu na kwa ujumla
naamini mwaka 2012 utakuwa mzuri au better kulinganisha na mwaka 2011.....

happy new year woote.....karibu sana 2012............:poa:poa:poa:poa

Natofautiana na hiyo imani, mbona mwaka 2010 ulikuwa mbaya sana kwa WaTz walio wengi?? maana ndiyo mwaka kulikuwa na uchaguzi ambao ulitumia Mabilioni ya pesa wananchi walichagua Rais wamtakaye lakini Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikatangaza kitu cha ajabu ambacho bado kipo na ndiyo source ya maumivu ya kiuchumi tuyapatayo.
 
we umeona uchaguzi tu?
halafu uchaguzi umetokea mwisho wa mwaka which means sio mwaka mbaya
but maamuzi ya uchaguzi huo ndo yalifanya mwaka 2011 uwe mbaya zaidi
but 2010 kwa ujumla ulikuwa poa
 
Mie nshatanhulia Bar kuusubiri.
Afu haya masaa yalobaki kama yanakuwa magumu sana kuyamaliza
naona RIP nazo zinakuja kwa kasi.

Bora huu mwaka uende zake.
 
Thanks!! Asilimia zaid ya 100 kwa malengo niliyokuwa nimepanga kuyatimiza.
I hope nxt yr 2012 itakuwa poa zaidi!!!

hongera aisee
hata mimi malengo nimekamilisha kwa asilimia zaidi ya 60
so sio mbaya sana personally lakini dahhhh
huu mwaka ulikuwa 'dume' aisee...
 
Unaona, baada ya kuulizia jana
nimeona bora kumwachia leo
nilikuhurumia maana ulikosa wa kupiga nae story

hadi kumuomba Rejao out ya George & Dragon?

Ulizidiwa aisee
Hahaha! Namuona anajiachia sasa hivi kwa sanaaa fanya mpango twende nae GEORGE & DRAGON....
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom