Ngono au Pesa?

Mi sijaelewa swali vizuri... ngono au pesa katika mazingira yapi? maana kwanza hivyo vitu siku hizi naona watu wanavipeleka pamoja pamoja...
 
Kama unastahili kimojawapo juu hapo which one woul you go for?

Nistahili kutoka kwa nani?
Pesa nnayostahili ni ile nnayofanyia kazi (siwezi kuiita zawadi). Sex nnayostahili ni ile inayotoka kwa mpenzi wangu (nayo sio zawadi kwasababu kila mmoja
anapata). Kuna kitu ambacho ni muhimu zaidi, bila chenyewe sio pesa wala sex itakayokua na umuhimu kwako.
 
Mi sijaelewa swali vizuri... ngono au pesa katika mazingira yapi? maana kwanza hivyo vitu siku hizi naona watu wanavipeleka pamoja pamoja...

Kwahiyo havitengamani? Wengine wanatumia pesa kupata ngono na wengine wanatumia ngono kupata pesa! Ndo maana inawawia vigumu watu kuchagua hapa
 
Vyote muhimu kutegemea na mtu, wakati, na muktadha.

Nimejikuta nikiwazia iwapo utajikuta katika mazingira ambayo unapaswa kuchagua kimojawapo tu ni kipi ungependelea? Na kipi unaweza kuishi bila kukipata?
Kweli vyote ni muhimu lakini usifanye mzaha na kupigika, umewahi kuumwa na njaa wewe? Hapo ndio utaujua umuhimu wa pesa.
Kuhusu ngono ni sera zako tu. Hata ukipigika unaweza kuongea vizuri na dada Lizzy akakupa hisani au smile akakupa mkopo.
 
Nadhani wewe utafaa zaidi kutoa hiyo HISANI.
 
Nistahili kutoka kwa nani?
Pesa nnayostahili ni ile nnayofanyia kazi (siwezi kuiita zawadi). Sex nnayostahili ni ile inayotoka kwa mpenzi wangu (nayo sio zawadi kwasababu kila mmoja
anapata). Kuna kitu ambacho ni muhimu zaidi, bila chenyewe sio pesa wala sex itakayokua na umuhimu kwako.

Kwahiyo kama huna kazi, huna mpenzi, hustahili vyote!
 
Back
Top Bottom