Ni jambo gani hautalisahau katika mwaka 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni jambo gani hautalisahau katika mwaka 2011

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nitonye, Dec 30, 2011.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  kama vile ndoto mwaka 2011 unaishia na tunaungoja mwaka 2012 lakini jambo gani hautakaa ulisahau katika mwaka huu unaoishia
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kugongwa na gari Tar. 25/10/2011 na kuvunjika mkono.............Duh, hivi nitalisahau kweli hili tukio!
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Dah mkuu pole sana kwa hilo lilokukuta Mungu yupo pamoja nawe
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kupoteza rafiki wa ukweli

  R.I.P rafiki.
   
 5. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuzama kwa MV Spice Isalnder ambayo ilinikumbusha machungu ya tukio la 1996 nilifiwa na wazazi na ndugu zangu wengi sana.
   
 6. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Dah pole sana Laura
   
 7. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Kuteuliwa kuwa waziri wa upuuzi na mipango ya ghafla ghafla.
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Da! mgawo wa umeme ulinitesa sana.
   
 9. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mapema mwezi feb nilipata ajali bas nlilokuwa nikisafiria lilipinduka kama haitoshi mwezi wa sita nlipata jali nyingine.namshukuru Mungu i'm alive!
   
 10. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ni pale rais wetu alipohojiwa kwanini tanzania ni maskini akajibu nayeye hajui!
   
 11. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mshukuru sana aise Maana bila yeye sisi si kitu
   
 12. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  Ajali ya MV spice na Five star...jaman haya matukio sitayasahau, nlipata picha kwamba ingekuwa ni mimi niko katikati ya bahari tena juu ya godoro nikakosa jibu kabisa,!!!Asante Mungu kwa ulinzi ulionipatia japo changamoto pia nilikutana nazo
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  I got sick and I was unconscious for two weeks. I was suffering from hypertention. Thank God I'm ok!
   
 14. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ndo ugonjwa gani tena huo mkuu?
   
Loading...