Nani mjanja katika hii mzunguko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mjanja katika hii mzunguko?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mwanyasi, Dec 29, 2011.

 1. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  [h=6](BOSS to his SECRETARY):Jiandae,kesho tuna safari ya kikazi!>>>> (SECRETARY to her HUSBAND):Mume wangu,kesho nitasafiri na bosi kikazi!>>>>> (HUSBAND to his GIRLFRIEND):Kesho wife anasafiri,uwe huru kuja! (GIRLFRIEND to her STUDENT):Kesho usije shule,nimepata dharura!>>>>>>> (BOSS to his SECRETARY) Samahani,safari imeahirishwa,mwanangu kesho haendi shule,ninahitaji muda wa kukaa nae! (SECRETARY to her HUSBAND):Kesho nitakuwepo,safari imeahirishwa! (HUSBAND to her GIRLFRIEND):Kesho usije,huyu kenge ameahirisha safari! (GIRLFRIEND to her STUDENT):Kesho uje shule,nitakuwepo kama kawaida![/h]
   
 2. B

  Blackboy. Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mjanja aliyekuwa anawafuatilia hao watu na kutuhabarisha sisi wana jf
   
 3. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haya Blackboy, wewe ni yupi kati yao?
   
 4. B

  Blackboy. Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ah! Mi ni huyo mwanafunzi.mara niende mara niambiwe usije
   
 5. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Nilijua tu lol,
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  mjanja ni the BOSS coz bila yeye hamna aliyefanikiwa kumdanganya mwenzie
   
 7. r

  rehema nyuda Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mjanja ni mtoto kwani jamaa alitaka kumuuzia kesi ya mkojo sasa mtoto kaamua kumaliza kabisa!!!!
   
 8. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Mwanyase vipi? Mbona hii ilishatokea humuhumu jamvini kwa jina la "The cycle of cheaters"? Au sivyo Jamani? Ila nahisi Mwanyasi ni mshabik wa recycling.
   
 9. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sio mbaya ku-repost coz hata mimi mwenyewe niliinyaka sehemu fulani,nika-translate in swahili ndo nika-post hapa JF.
   
 10. L

  Lofefm Senior Member

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  DUUH KWELI HII NI KALI SANA. I will remember it alwayz
   
Loading...