fomu ya kuomba kazi

fomu ya kuomba kazi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,371
Jina: Ousofia

Jinsia: ya kiume halafu namtafuta mrembo atayenifaa

Cheo unayotaka: Rais au makamu wa kampuni,ila sipendekezi sana hizo nafasi mpaka mtakaponiajiri kwanza.

Kiasi cha mshahara unaotaka:isipungue 185,000000/= kwa mwezi ila mnisaidie pia

Elimu:ndiyo

Ujuzi wako wa ziada:Nakumbuka nilipokuwa shule ya msingi niliibiwa kalamu ila nilimkamata mwizi wangu.pia ujuzi wangu unabadilika kutokana na mazingira.

Ulishawahi kuajiriwa kwingine?: ndiyo

kwanini ukaacha hiyo ajira:ah uzinguzi

Muda utakaofanya kazi: wowote

Andika mawasiano ya mwajiri wako wa kwanza:kama yupo kwanini niombe kazi

Je kuna matatizo ya kiafya ambayo yangekuzuia usibebe kilogram isiyopumgua 5?:Kilogram za nini?

Una gari: nadhani swali la msingi hapa ingekuwa naendesha gari kwa speed gani

Unavuta sigara:kazini hapana nyumbani kama kawaida

Kwa hiyo miaka 5 ya ajira hapa Dar es salaam ungependa uishi wapi:napenda kuishi arusha na mwanza

Umehakikisha hayo yote uliyoyasema hapo juu ni kweli?: sijadanganya
​
 
mh kweli kwa hapa ndo nimeamini OUSOFIA kilaza km thread zake.....hahahahaaa natania
 
Hii inakuwa sawa unapojaza huku umepuliza jani au unasaga gomba
 
Nimependa hiyo sehemu ya kuishi Mwanza kufanya kazi Dar. Ningekuwa mimi ningeomba niishi Mbeya.
 
Ousofia,hahahahaha!!....afuedoishosavumbi
 
Back
Top Bottom