Mimi binafsi sipendi watu wanao beza taaluma!
Hila kuna mahali nimekuta pameandikwa eti"MTANGAZAJI NA MPIGA DEBE SAWA TU TOFAUTI YAO NI OFISI"Nimkereka kwa kibaza taaluma!
katika pitapita za leo nimemkuta muuza miwani pembeni ana bango limeandikwa.. FAIDA ZA KUVAA MIWANI
1.KUFICHA AIBU UKITEMBEA
2.HATA KAMA MBAYA UTAONEKANA MZURI/HB.,
3.USAIDIA KUFICHA WALE...
Jamani hivi humu jf kuna wangapi huwa wanasherehekea hiyo sikukuu? Na vp maandalizi yake watu huwa wanaandaa menu kama kawa?siku nyingi naisikia hii siku kuu ila wahusika sijawahi kuwaona.
Nilipowauliza kulikoni raundi zinazungushwa as if hawayaoni hayo maji, wakanijibu, eti waogope maji kwani wao ni wakinakatope?
Ikabidi niondoke taratibu na siku kadhaa baada ya tukio hilo...
Yaani mi sijui nanzie wapi maana nimepita katika haya makanisa mapya, tena mengi ni yale yaliyopanga kwenye chumba cha 12x12. Nusu ya chumba kinamezwa na spika. Basi wakianza utasikia...
Kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Tanzania haswa jiji la Dar tofauti na miaka ya nyuma watu wameuanza mwaka mpya jana lakini tayari wameshachoka hawana matumaini wapo wapo tu ndugu watanzania...
4 REASONS WHY DOGS ARE BETTER THAN WOMEN
1)dogs obey when u shout at them 2)dogs dont shop(shoping)
3)u can give away your dogs children but not woman child
4)any guy can get a good looking...
Haya ni mazungumzo ya mama na mtoto kwa msg....
Mother: I love you Son, you should come with me to church this Sunday it is going to be great..
Son: Shit I just want some head tho I...
Wanandoa waliokuwa na matatizo ya ndoa yao walikwenda kwa mchungaji kusuluhishwa,
baada ya mchungaji kusikiliza hoja za pande zote, aliwapa ushauri kisha akawataka wote
wapige magoti ili...
Afisa msitu kafika maporini kukagua misitu, mlinzi akamzuia kuingia.
Afisa misitu akatoa kitambulisho " we ni nani kuniizuia? kwa hiki kitambulisho hakuna atakae nizuia kufanya shughuli zangu hata...
Kulikua na shamba moja ambalo lilipanda miti mingii ya matunda"
Kwakua miti ile ilikua karibu matunda yake yakaanza kupiga story
CHUNGWA - mimi naona nafanana sn na jua
TUFAA - jamani mie naambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.