Bibi kizee atoa kali ya mwaka!!!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Ebu ipotezeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Sio lazima ucheke kila siku,ebo!Nimekwambia uondoke,mbona unaendelea kutoa mimacho hapa?
ARAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tatizo la wehu hawajitambui, sasa wewe ni mwehu tena ubongo wako umeoza tena umekufa yaani tahira
 
tatizo la wehu hawajitambui, sasa wewe ni mwehu tena ubongo wako umeoza tena umekufa yaani tahira

Daah!
Nitakutafuta ili mtoto akilia niwe namtishia kwa sura yako,"Ona dudu hilo litakung'ata"!!!!!!
 
bibi kizee atoa kali ya mwaka hii ndo heading ya post, ukijakuangalia thread iliyopostiwa, aliyeiandika ndo katoa kali ya mwaka, kwa hiyo aliyetoa kali ya mwaka jina lake ni ELIAHKAMWELA, kwa urahisi una-conclude bibi kizee mwenyewe ni ELIAHKAMWELA. Kweli we bibi kizee umetutolea kali ya mwaka
 
Back
Top Bottom