...................also known as................

...................also known as................

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
1,158
Reaction score
1,388
>>>>a.k.a>>>>
Nguruwe>>kitimoto>>mbuzi katoliki>>mdudu>>mkuu wa meza


malaya>>changudoa>>kahaba>>shangingi
mtanashati>>sharobalo>>nyangema>>brazameni>tozi>mtoto wa mama

shoga>punga>mtoto si riziki>mtoto wa watu>david cameruni

shule>skonga>camp>skuli

>>>a.k.a>>>
 
aiseee...waboongo sijui wanawazaga nini?

sasa huyu jamaa sijui ana upeo gani....ndio maana mkapa alisema watz ni wavivu wa kufikiri....
 
Mh owkay... Wanaoelewa zaidi wataendeleza...
 
aiseee...waboongo sijui wanawazaga nini?

sasa huyu jamaa sijui ana upeo gani....ndio maana mkapa alisema watz ni wavivu wa kufikiri....

YO YO kwani hii sio aka? au ndo jina lako halisi?fikiri kabla ya kutenda
 
mnoko/mkuda/mpakazaji/

mshamba/ndina/wakuja/zoba

bange/moshi/nyasi/cha arusha/
 
kibosile/shefa/mwezeshaji/bosi

wali/ubwabwa/mpunga/ubeche
 
baba>>dingi>>mshua>>faza
Shoga>>mchezaji timu pinzani
Ukimwi>>ngoma>>ngwengwe>>miwaya<<nyenyere
Bangi<<sigara ndefu<<msuba
 
figganigga, fais buku, shule za kata, juice, -------feli ya kigamboni, ngeleja, hamad, matofali, maua, jua. beseni, njia panda ya himo zuria,----- paw, mchina, morogoro road, barrack obama, jairo, masabuli, kirikou, tanesco, chapati, george maratu, bamping,------ azam milk, mapenzi, ticts, khalfan kikwete,----- maralia sugu, maandamano, hotpot, nanasi, sisimizi, taulo, ggm, msg, hhp, BTW, btn, startimes, ------vinega, sefuria, mambo ya kikubwa, tuntu,....n.k. Mia
 
figganigga, fais buku, shule za kata, juice, feli ya kigamboni, ngeleja, hamad, matofali, maua, jua. beseni, njia panda ya himo zuria, paw, mchina, morogoro road, barrack obama, jairo, masabuli, kirikou, tanesco, chapati, george maratu, bamping, azam milk, mapenzi, ticts, khalfan kikwete, maralia sugu, maandamano, hotpot, nanasi, sisimizi, taulo, ggm, msg, hhp, BTW, btn, startimes, vinega, sefuria, mambo ya kikubwa, tuntu,....n.k. Mia

Hii yako sasa ni balaa ungemaliza yote
 
housi gelo/dada/msichana wa kazi/beki tatu/msugua shaba/msaga jiwe/ Taribowesti
 
Pesa/ankara/mkwanja/mpunnga/mshiko
buku/mia tano
bhang/kijiti/msuba/mjani
 
Msichana/demu/manzi/mtoto
gongo/majozi ya simba/ngumu kumesa/konyagi haramu
 
Pesa/ankara/mkwanja/mpunnga/mshiko
buku/mia tano
bhang/kijiti/msuba/mjani
 
Chimbo/mtoro/doja
tajiri/kibosile/kibopa
mwanafunzi/wakusoma/dent
polisi/poti/njagu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom