Umewaza mbaliii!

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,229
Akatoa blauzi na mimi nikatoa shati,
akatoa sidiria na mimi nikatoa vesti,
akatoa skintyt na mimi nikatoa bukta,
akatoa ch*pi na mimi nikatoa.
tukabaki tunaangaliana,ikabidi nitoe pochi halafu nikalipia nguo tulizonunua na ndo ikawa mwisho wa shopping yetu.
 
Jamaa mmoja alienda safarini na kuingia hoteli nzuri,alipofika chumbani akafurahi kukuta computer na internet imeunganishwa,haraka haraka akaanza kumwandikia mkewe ila kwa bahati mbaya alituma kwenye e-mail id ya jirani yake,mwanamke aliyefiwa na mmewe,mama wa watu aliporudi kutoka kwenye mazishi akaanza kusoma emails zake,alipoisoma ya jamaa akazimi.
email ilikuwa inasema.

habari mke wangu mpenz,nimefika salama na nimepokelewa salama,kuna computer na internet na huku ni pazuri,watu ni wazuri na huduma pia,naomba jiandae wala usiogope tunakusubiri kesho,usiogope safari itakuwa fupi.
naomba kesho usiahirishe kuja ninakusubiri.
ni mimi kipenzi chako,mmeo
nakusubiri kesho.
 
Niliwaza utasema, baada ya kuanaliana tkakumbatiana afu mambo mengine yakaendelea. Mara wote tukawa chooka mbaya.

Uko juu mkuu.
 
Jamaa mmoja alienda safarini na kuingia hoteli nzuri,alipofika chumbani akafurahi kukuta computer na internet imeunganishwa,haraka haraka akaanza kumwandikia mkewe ila kwa bahati mbaya alituma kwenye e-mail id ya jirani yake,mwanamke aliyefiwa na mmewe,mama wa watu aliporudi kutoka kwenye mazishi akaanza kusoma emails zake,alipoisoma ya jamaa akazimi.
email ilikuwa inasema.

habari mke wangu mpenz,nimefika salama na nimepokelewa salama,kuna computer na internet na huku ni pazuri,watu ni wazuri na huduma pia,naomba jiandae wala usiogope tunakusubiri kesho,usiogope safari itakuwa fupi.
naomba kesho usiahirishe kuja ninakusubiri.
ni mimi kipenzi chako,mmeo
nakusubiri kesho.

I see, unatishaa
 
Akatoa blauzi na mimi nikatoa shati,
akatoa sidiria na mimi nikatoa vesti,
akatoa skintyt na mimi nikatoa bukta,
akatoa ch*pi na mimi nikatoa.
tukabaki tunaangaliana,ikabidi nitoe pochi halafu nikalipia nguo tulizonunua na ndo ikawa mwisho wa shopping yetu.

uliposema tukabaki tunaangaliana nikazani NYOKA WA KIBISA lol!
 
Joke zako mkuu ni za uhakika, big up mkuu nakukubari na ukifika hatua ukakubariwa na mimi ujue JF nzima inazikubali kazi zako.
 
Back
Top Bottom