cheka kiduuuunchu!!

cheka kiduuuunchu!!

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,490
Reaction score
1,293
Nyoka na mama yake
Siku moja nyoka mmoja akiwa na familia yake wakipaata msosi,motto wa nyoka akaanza kumuuliza mama yake
Motto:eti mama,ni kweli tuna sumu kama watu wanavyosemaga?
Mama:ndio mwanangu……………kwa nini umeuliza hivyo?
Motto:nimejing’ata uliimi wakati natafuna.

Mwanafunzi kilaza
Mwalimu wa hisabati anaingia darasani anauliza.
Mwalimu:nani anajua kutafuta eneo la pembe tatu?
Mwanafunzi:kwanza ulipotezea wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom