kanisa nililotembelea wameniambia nisikanyage bar milele'sasa nikiwaza kuhusu maisha yangu hakuna siku ambayo sijatembelea bar wala hakuna siku nimelala bila kunywa pombe,haya masharti ni magumu...
Padri >Nitonye unampenda Sweetlady na uko tayari kuishi naye katika shida na raha?
Nitonye- ndio padri namzimia huyu demu kik**a yaani, na niko tayari kupoa naye!
Padri- acha usen*e ku****ako...
Kuna jambazi lilivamia nyumba fulani,likamkuta m2 na mke wake,bahati likachukua vya kuchukua na likataka kuua,likasema kabla cjaua ninaulizaga majina haya mwanamke unaitwa nani?mwanamke akajibu...
mzee mmoja alichoshwa na habari za mtaani kwamba mwanaye hata umuulize swali jepesi kupita yote ni lazima atakosa !!!
Siku moja akaamua kuandaa swali jepesi kupita kiasi ili amuulize mwanae mbele...
Kuna mnyama au mdudu fulani humpendi/unamuogopa? Kwanini?
Mi simpendi nyoka na namuogopa nyoka yoyote awe mdogo awe mkubwa awe na sumu asiwe na sumu mi nyoka ni nyoka tu namuogopa na simpendi
Leaving Minnesota for Colorado, I decide to make a stop at one of those rest areas on the side of the road. I go in the washroom. The first stall was taken so I went in the second stall. I just...
Dada mmoja sinza ijumaa hii
alipitiwa na mbakaji mmoja alipomaliza haja yake akaanza kukimbia dada akapiga kelele
amenibaka amenibaka watu wakaanza kumkimbiza walipomkamata wakamrudisha kwa binti...
Hamjambo?
Leo nimekikumbuka hiki kiboksi ambacho nilizoea kukiona sehemu mbalimbali ambazo zinatoa huduma, kama kwenye mabenki ofisi za serikali nk. Kwa ajili ya wateja kutoa maoni yao, kiboksi...
Mambo zenu wanajamii wenzangu,
Natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na mwanzo wa mwaka mpya wa 2012,binafsi mwisho wa mwaka niliumaliza kwa kutembelea sehemu mbalimbali za Dunia,basi nilipofika...
Mtalii mmoja alienda zenji na watoto wake. Wakiwa wamepumzika baada ya kuogelea pamoja na waswahili wengine, kumbe na Bi Kidude naye alikuwamo akipiga mbizi-si unajua tena bibi anadai ktk maisha...
Nilikuwa maeneo ya upanga karibu na kituo cha polisi cha zamani ambacho kimehamishwa Ghafla ikasimama gari mbele yangu. Mtu mmoja mwenye mvi na kitambi kikubwa akateremka na kuanza kunifokea...
Nawatanieni tuu Jamaniii hamna unyama wala nyama, najua wengi watafungua post hii.
Mi nawatanieni!!
Utani huwa c lazima watu wacheke wengine huchukia, ni kama wewe kichwa cha habari kimekuvutia...
Aisha Khamisi Mbaula anayedaiwa kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Anga, Meja John Tawete (45), akifikishwa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.